Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #101
Duuh poleAlianza kuwatukana watoto matusi ya nguoni mbele yangu na maneno ya kashfa hivi plus kunyinwa unyumba nikajua ni Mimi ninaetukanwa!nilimkataza mara nyingi akaendelea!Kumbe alikua na ujenzi wa siri na jamaa yake ndio msimamizi coz nilianza kuona script ziki change yaani namna anavyoishi na mimi ni kama anapata maelekezo toka kulee!nilipogundua ujenzi wa siri aibu ikampata na matusi yakaisha !!kumbe ni hako kanyumba ndio kalimpa kiburi!!!
Sio muumini wa kuachana,Nikampa uhuru aendelee na jamaa yake!Na mimi naendelea na mishe zangu!!
Sasa nakuelewa replies zako kwenye nyuzi nyingine