Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Kuna mmoja nilimpa pipi alambe kidogo baada ya goli la Kwanza, yeye badala ya kuilamba kistaarabu akaing'ata huku akijua kabisa sina pipi nyingine zaidi ya hiyo niliyompa, kimoyo Moyo nikajisemea "amepanga kunimaliza".

Cc realMamy majoto Al-mukheef.
Yani umeniita sheikh kama mimi kwenye mambo ya kipuuz kama haya 😃
 
Kuna mmoja nilimpa pipi alambe kidogo baada ya goli la Kwanza, yeye badala ya kuilamba kistaarabu akaing'ata huku akijua kabisa sina pipi nyingine zaidi ya hiyo niliyompa, kimoyo Moyo nikajisemea "amepanga kunimaliza".

Cc realMamy majoto Al-mukheef.

🤣 🤣 kwani unawatoaga wapi?
Labda ilibidi umpe angalizo, inalambwa na kumungunywa tu hakuna kutia meno 😝
 
Sasa huyo wa laki, si ungempa tu jamani.
Na hata aliyetaka kukuzalia naye ukamkacha, daa we kijana.

Wangu wa kwanza alikua king'ang'anizi sana, mimi nilikua msichana wake wa kwanza na yeye alikua wangu wa kwanza. Alitaka kunioa na miaka 20 na mimi nilitaka kuiona dunia zaidi, so nikamuacha.
laki1 ndio ilikuwa utajiri wangu yaani my net worth 😀 acha tu yaani dah! afu nimpe tena alitaka akanunue mazaga ya birthday yake.

Sipo tayari kulea mwana wa sasa it was for the best

ulitaka kula ujana eeh!
 
🤣 🤣 kwani unawatoaga wapi?
Labda ilibidi umpe angalizo kuwa, inalambwa na kumungunywa tu hakuna kutia meno 😝
Mahusiano yalipokuwa mapya alikuwa anamumunya kwa ustadi wa hali ya juu utafikiri alikuwa kibogoyo, kadiri siku zilivyozidi kwenda mambo yalizidi kubadilika, natumai ningeendelea naye angeutafuna kabisa muwa wangu wa thamani.

mzabzab kuwa makini kwenye mahusiano.
 
Back
Top Bottom