Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Alikata mawasiliano ghafla nikaona dalili mbaya kumuuliza so it's over akajibu yes tukaishia hapo.

Kuna aliesema anza kunitreat kama rafiki nikahisi kitu kumuuliza eti mahusiano yetu yalikuwa ka-game tu, tukaishia hapo.

Kuna alieomba hela eti naomba kama laki1 mpenzi nikaona bad sign hii, tukaishia hapo.

Kuna aliesema nakupenda mume wangu nataka uwe baba watoto wangu nikaona uhuru wangu unaenda kutoweka, huku anajua mi ni kataa ndoa, tukaishia hapo.

Mshangazi dot com mpenzi wako wa kwanza mliiachana vipi 😎
 
Hatare hatare secretary wa kiume πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kuna mmoja nilimpa pipi alambe kidogo baada ya goli la Kwanza, yeye badala ya kuilamba kistaarabu akaing'ata huku akijua kabisa sina pipi nyingine zaidi ya hiyo niliyompa, kimoyo Moyo nikajisemea "amepanga kunimaliza".

Cc realMamy majoto Al-mukheef.
 
Sasa huyo wa laki, si ungempa tu jamani.
Na hata aliyetaka kukuzalia naye ukamkacha, daa we kijana.

Wangu wa kwanza alikua king'ang'anizi sana, mimi nilikua msichana wake wa kwanza na yeye alikua wangu wa kwanza. Alitaka kunioa na miaka 20 na mimi nilitaka kuiona dunia zaidi, so nikamuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…