Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Duuh pole
Sasa nakuelewa replies zako kwenye nyuzi nyingine
 
Enewei


Alipata likizo akasafiri kurudi kwao, tukawa tunaongea karibu kila siku, hiyo siku akanambia anaumwa akaenda hosp mi sikumtumia hata mia hali yangu nilikuwa naijua mwenyewe tu ila yeye pesa anayo. Akapona, jmos moja akaniomba vocha nikamtumia ya elfu 2, jtatu nikaongea nae vizuri tu tena nikamwambia akirudi akachukue kitambulisho cha Taifa nimkatie bima ya afya eeeh! Jnne nikapiga simu ikakatwa, nikapiga tena ikakatwa, kidogo ikatumwa text kwangu

Ctak unipigie simu, nitoe kwenye maisha yako, nikafuata maelekezo mpaka leo. Hii ilikuwa wiki ya pili ya mwezi huu.
 
Pole
 
Ko sasa hivi umekuwa mshangazi wa people for the people by the people hadi vipofu wanajipigia au uliamua kujiheshimu ukajenga familia?
 
Niko kwenye hiyo situation sahv ...hajali tena kama mwanzo .... anajidai kunijibu short... sometimes unamuuliza kitu anakuja blue tick nilijaribu kumuuliza ubishi mwing sasa na mm ni mzito sana kugombana na mwanaume....lakini kuhudumiwa Bado anafanya kwa u Bora ule ule sema tuu mawasiliano yamepungua anajua Kila baada ya wiki kusuka anajua pesa anatumaga tuu wakat wowote na hataki umpe shukran so kwasababu tuko mbali I guess tayar ashachukuliwa Soo Cha kufanya nime fasten my seatbelt kikinuka tuu I will be safe guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…