Daliliz za mchepuko😂

Anapokuwa nawe simu muda wote ipo mkononi yani yupo karibu na simu a ajibu sms anapokea simu ila mkiwa mbali mbali mawasiliano nae yanakuwa ya kuungaunga. Mara simu ilikuwa mbali au hakusikia.

Muda mwingi mwingi simu yake haina sauti na inakaa mkao wa face down😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…