Dallas: Wolper please turudiane tu

Dallas: Wolper please turudiane tu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Yule zilipendwa wa sexy lady wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe aitwaye Ramadhan Abdallah Mtoro ' Dallas ' anadaiwa kukumbuka shuka kukiwa kumeshakucha ikielezwa kwamba eti anabembeleza kurudiana na staa huyo waliyetengana takriban mwaka mmoja uliopita ili wakamilishe taratibu za kufunga pingu za masha .

Akizungumza na Amani hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Lango la Jiji uliopo Magomeni, Dar es salaam, Dallas alisema kuwa anamshangaa Wolper kumkatalia ombi lake la kurudisha uhusiano wao wa kimapenzi huku akijua fika kuwa bado anampenda.

"Nampenda sana Wolper . Please namuomba turudiane tu . Ningejua kipindi kile nilivyorudi kutoka nje ningefunga naye ndoa kwani sasa hivi angekuwa ni mke wangu niliyechaguliwa na Mungu lakini ndiyo hataki ," alisema Dallas.

Kwa upande wa Wolper alisema kuwa Dallas kwa sasa ni mshikaji wake tu na atabaki kuwa hivyo lakini kuhusiana na mapenzi, hakuna kitu kama hicho.

Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe. "Nitasaidiana naye kwa kitu kingine lakini siyo mapenzi, kwa sasa niko na mtu wangu, " alisema Wolper.

Kabla ya jahazi kwenda mrama, penzi la Wolper na Dallas lilitikisa mji huku kukiwa na maneno mengi ambayo yalimshinda mkali huyo wa filamu za Kibongo ambaye aliamua kuchukua hamsini zake.
 
Sidhani kama wolper atakuja apige mpunga mrefu ka ule aliopiga kwa Dallaz, enzi zile bado ni papaa ya mujini....
 
Ndio huyu aliyemnyang'anya gari?

Ndo huyo huyo, pia alimpangishia nyumba ya kifahari (ghorofa) mbezi beach, kipindi kile wolper alikuwa noma mjini alisumbua sana kipindi kile sijui kama atakuja kupata lile zali tena
 
Hawa ndio wanawapaga viburi madem wacha akalie bechi mpaka apate akili shenzi type.
 
Ndo huyo huyo, pia alimpangishia nyumba ya kifahari (ghorofa) mbezi beach, kipindi kile wolper alikuwa noma mjini alisumbua sana kipindi kile sijui kama atakuja kupata lile zali tena

Jamaa lofa kweli, leo ndo limekumbuka kuweka mzigo ndani.... sahivi kachoka mbayaa, cjui hata kiburi cha kumfata wolper anatoa wapi.
 
Si ndo apo, nasikia jamaa kachoka mbaya hata viwanja vyake sasa ivi vya ajabu ajabu sio kama zamani unamkuta viwanja matata akitanua na warembo, sasa ivi ataishia tu kumsikia wolper kwenye magazeti, maana sidhan kama wolper ataweza mrudia jamaa na alivyochoka vile dah, halafu si alisemaga wolper ananuka papuchi sasa imekuwaje karudi tena, huyu jamaa atakuwa anavuta bhang na yeye
 
Kwahyo jamaa kafulia hafu naye mwanaume mmbea anaachana na mtu anaenda kumtangaza kwa watu na afulie mpaka ajute blali
 
Naona sasa hivi papuchi yake hainuki tena ndio maana anataka kurudi
 
Si ndo apo, nasikia jamaa kachoka mbaya hata viwanja vyake sasa ivi vya ajabu ajabu sio kama zamani unamkuta viwanja matata akitanua na warembo, sasa ivi ataishia tu kumsikia wolper kwenye magazeti, maana sidhan kama wolper ataweza mrudia jamaa na alivyochoka vile dah, halafu si alisemaga wolper ananuka papuchi sasa imekuwaje karudi tena, huyu jamaa atakuwa anavuta bhang na yeye

Mods mmemwachia warumi dah
 
Kwahyo jamaa kafulia hafu naye mwanaume mmbea anaachana na mtu anaenda kumtangaza kwa watu na afulie mpaka ajute blali

Dallas mnafiki tu si alimtangazia papuchi yake inatema kama panya aliyeoza na eti alivyolala nae mara moja tu hakutamani tena kulala nae, da pesa izi mbaya binamu, sasa ivi wolper kawa malaika na papuchi yake inanukia maziwa, apeleke makende yake kimbiji uko
 
Back
Top Bottom