Wapiga solo wote wa Congo walikua wanapita njia ambazo diblo alipita miaka miingi... kuanzia dally kimoko Nene Tchakou, Beniko nk.. Diblo alivuruga akili za watu na kuwafanya wasielewe ile mirindimo ya gitaa kwenye wimbo kama Moundoly inatokana na mikono yake au kinanda.. baadae alipowabeba loketo ya mabele bongoman na baadae kucharaza track kama ok madame na Bendi yake mwenyewe ya Matchacha ndo watu wakaanza kuelewa kumbe ni kiumbe wa kawaida anayechazaza gitaa sio utundu wa studio.. kifupi kwenye gitaa la solo kwwnye miondoko ya soukous diblo asifananishwe na kiumbe yeyote aachwe tu kama alivyo