Dally Kimoko(DK) na Diblo Dibala (DD) ni zaidi ya brandname

Dally Kimoko(DK) na Diblo Dibala (DD) ni zaidi ya brandname

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Hawa Miamba sijapata kufahamu historia zao ila inshort nikuwa walikuwa wanajihusisha na mziki labda walikuwa maproducer, wanamuziki au hata mameneja wameacha legacy nyimbo ya zamani bila kusikia majina haya hiyo sio hitsong. Credit zifike kwao.
 
Pamoja si wa Long kivile ila Diblo Dibala katika ngoma ya Alous Mabele aliua kinyama manake alichange code za gita kama hana akili nzuri.
 
dariki mokooo ......in yondo sister's voice
kimoko alikuwa zaidi ya laizer was wasafi
 
Wapiga solo wote wa Congo walikua wanapita njia ambazo diblo alipita miaka miingi... kuanzia dally kimoko Nene Tchakou, Beniko nk.. Diblo alivuruga akili za watu na kuwafanya wasielewe ile mirindimo ya gitaa kwenye wimbo kama Moundoly inatokana na mikono yake au kinanda.. baadae alipowabeba loketo ya mabele bongoman na baadae kucharaza track kama ok madame na Bendi yake mwenyewe ya Matchacha ndo watu wakaanza kuelewa kumbe ni kiumbe wa kawaida anayechazaza gitaa sio utundu wa studio.. kifupi kwenye gitaa la solo kwwnye miondoko ya soukous diblo asifananishwe na kiumbe yeyote aachwe tu kama alivyo
 
Hebu weka wimbo mmoja kwa kila mmoja tusikilize!
 
Back
Top Bottom