Damas Ndumbaro atupwa jela ya soka miaka 7

Damas Ndumbaro atupwa jela ya soka miaka 7

Mbona vilabu kama vimemkana kiaina flani vile au habari inasomekaje mkuu tracy martins
Hata mimi najiuliza kweli yale aliyoyangea Damas Ndumbalo hakutumwa na vilabu!!!??? jaman mbona kama hivi vilabu vinamkana ndumbalo mchana kweupe kama yule mwanafunzi wa bwana YESU KRISTO!!!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi najiuliza kweli yale aliyoyangea Damas Ndumbalo hakutumwa na vilabu!!!??? jaman mbona kama hivi vilabu vinamkana ndumbalo mchana kweupe kama yule mwanafunzi wa bwana YESU KRISTO!!!

Hilo mkuu mkolaj ndilo soka la bongo sasa yeye kama alijichanganya akizani yuko kwa #chimba #UKAWA imekula kwake....
 
Last edited by a moderator:
Sina wacwc ninachoamini wakili ana akili kuna njia ambazo atapita hayo maamuzi yatatenguliwa hizo hukumu za kimtaani na influence mara nyingi hazina mantiki ktk sheria!!!!!!

kwahiyo mkuu banetg unatushauri tuwe na subira kuona ni nini ktachotokea mwisho wa hili zengwe. ok tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Sina wacwc ninachoamini wakili ana akili kuna njia ambazo atapita hayo maamuzi yatatenguliwa hizo hukumu za kimtaani na influence mara nyingi hazina mantiki ktk sheria!!!!!!

Mambo ya mpira hayapelekwi mahakamani ukae ukijuwa huyo amekwenda na maji.

Ukiishi kwa upanga nawe utakufa kwa upanga.
 
Baada ya miaka saba atakuwa tayari ni Profesa na atakuja tena na jipya. Basi akaendeleetu na U dean wake pale OUT
 
Safi Sana, aliniudhi Sana alipomuengua Wambura kwa kupewa maagizo na kina aveva! Malipo humu humu duniani
 
Hawa waliotunga hii sheria ya mambo ya soka kutopeleka mahakamani walifanya makosa sana, manake viongozi wengi wa klabu, pamoja na mashirikisho ya mpira kote duniani wamekua wakifanya mizengwe kwa kuitegemea hii sheria, Naichukia sana hii sheria.
 
Back
Top Bottom