Damas Ndumbaro: Chanzo cha Majimaji kufanya vibaya ni kukosa wachezaji wazalendo (kutoka Ruvuma)

Nakumbuka klabu ya villa squad ilikuwa inaweka kambi halafu msosi wanashindia mkate tu

Stendi walikuwa wanashindia maandazi 3

Igeni mfano kutoka singida utd
Waambie
 
Ndumbaro ni mwanasheria, ila hapo kapotea kabisa. Si jambo zuri kuwaona wasio wazawa ni wasaliti. Iko siku atasema ni marufuku asiyemzawa wa Songea kuishi hapo. Mimi nahisi tayari ameshakunywa Maji taka ya siasa na anataka kuwanywesha wengine! NOOOOOO..!!
 
Football is universal. Yuko wapi Samatta?
Samata alilelewa achana na hawa wahuni wa michangani kina Salum Machaku ,sijui Juma Nyoso by the way hata huyo Samata huwezi kumuweka level za kina Messi , tupo mbali nao sana
 
Wakati Mbwana anaanza chandimu,ulijua atacheza Europa cup? Football is universal.
 
Mi namfahamu yule dogo kabla hajaanza kucheza Mbagala market na nilijua atakuja kuwa star.Nilikuwa namkuta mbagala rangi tatu kuna uwanja unaitwa Stombag , pale alikuwa akifanya training na baba yake ndiye aliyekuwa akimsimamia.
 
Safi sana.Unadhani baada ya Genk ataenda team gani? Football is universal!
 
Back
Top Bottom