Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
- Thread starter
- #21
WaambieNakumbuka klabu ya villa squad ilikuwa inaweka kambi halafu msosi wanashindia mkate tu
Stendi walikuwa wanashindia maandazi 3
Igeni mfano kutoka singida utd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WaambieNakumbuka klabu ya villa squad ilikuwa inaweka kambi halafu msosi wanashindia mkate tu
Stendi walikuwa wanashindia maandazi 3
Igeni mfano kutoka singida utd
Sijui ile mirangi inakitu gani ukishaivaa tuu inabidi uwe mtaalamu wa kucheza na manenoKarithi kutoka kwa mwenyekiti wake wa mbogamboga..
Usiwafananishe vilaza wetu na kina Messi kabisaMessi asingeenda Spain. Kwani Simba na yanga zimejaa wazaramo?
Football is universal. Yuko wapi Samatta?Usiwafananishe vilaza wetu na kina Messi kabisa
Samata alilelewa achana na hawa wahuni wa michangani kina Salum Machaku ,sijui Juma Nyoso by the way hata huyo Samata huwezi kumuweka level za kina Messi , tupo mbali nao sanaFootball is universal. Yuko wapi Samatta?
Wakati Mbwana anaanza chandimu,ulijua atacheza Europa cup? Football is universal.Samata alilelewa achana na hawa wahuni wa michangani kina Salum Machaku ,sijui Juma Nyoso by the way hata huyo Samata huwezi kumuweka level za kina Messi , tupo mbali nao sana
Mi namfahamu yule dogo kabla hajaanza kucheza Mbagala market na nilijua atakuja kuwa star.Nilikuwa namkuta mbagala rangi tatu kuna uwanja unaitwa Stombag , pale alikuwa akifanya training na baba yake ndiye aliyekuwa akimsimamia.Wakati Mbwana anaanza chandimu,ulijua atacheza Europa cup? Football is universal.
Safi sana.Unadhani baada ya Genk ataenda team gani? Football is universal!Mi namfahamu yule dogo kabla hajaanza kucheza Mbagala market na nilijua atakuja kuwa star.Nilikuwa namkuta mbagala rangi tatu kuna uwanja unaitwa Stombag , pale alikuwa akifanya training na baba yake ndiye aliyekuwa akimsimamia.
Hahaha atarudi Simba tuu yuleSafi sana.Unadhani baada ya Genk ataenda team gani? Football is universal!
Downfall ya mwaka.Hahaha atarudi Simba tuu yule
Ndo inapokwendea akifika miaka 29 kucheza Man U kwa mtanzania ni ndoto za AlinachaDownfall ya mwaka.