MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800.
Wataalamu wa kijeshi wanasema,huenda mlipuko huo umesababishwa na Vilipuzi vilivyokuwa vimehifadhiwa mahali hapo.
Jeshi la anga la Israel limeendelea na kampeni ya kuziangamiza Silaha zote zilizokuwa zikimilikiwa na utawala ulioangushwa Desemba 8 wa Bashar Al Assad.
Wakati huo huo,Baraza la mawaziri la Israel limepitisha uamuzi wa kuongeza idadi ya Walowezi mara mbili kwenye milima ya Golan ambayo ilitekwa hivi majuzi kutoka Syria.
Raia wengi wa jamii ya DRUZE iliiomba Israel kulikalia eneo lao na kuwa sehemu ya Israel kwa hofu ya kushambuliwa na watawala wapya wa Kiislam walioipindua Serikali ya ASSAD.
View: https://youtu.be/mDUnk2r8kY4?si=elUKQZiC8YQOUPgm