n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Raha za mabikra 72, na mito ya pombe π€£ππ€£π wenzio kina nusra wanakula bata saa hiziEe mola wetu tujalie waja wako tuwe ktk wale wataokaojnja zile raha za peponi π π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha za mabikra 72, na mito ya pombe π€£ππ€£π wenzio kina nusra wanakula bata saa hiziEe mola wetu tujalie waja wako tuwe ktk wale wataokaojnja zile raha za peponi π π
Mbona kutanguliza swalah kabla kitu hakijatua hapo mlipo jamaangu?Ee mola wetu tujalie waja wako tuwe ktk wale wataokaojnja zile raha za peponi π π
Ooh! Huna KY jelly karibu?Uko wapi allah? Kobazi hazivaliki huku.
Kwa hiyo Myahudi kapiga kule jikoni kabisa?Kama kweli huenda Israel analipa kisasi kwa Urusi baada ya waasi wa Houthis wa Yemen kuishambulia Israel mji wa Tel Aviv kwa Hypersonic missile.
Kwa hisia zangu Hawa Houth walipata silaha au teknolojia toka kwa Urusi.
Asiwaonee gere. Akitaka naye aende kwa Izrael kupata tiketi ya safari ya huko.Raha za mabikra 72, na mito ya pombe π€£ππ€£π wenzio kina nusra wanakula bata saa hizi
Peponi uende bila kumwamini Yesu Kristo na kuoshwa kwa damu yake? Mwamini Bwana YESU. Kwamba yeye ni mwana wa Mungu na alikufa kwaajili yako. Na umkiri hadharani, Hapo utaokoka. Na kuingia peponi (mbinguni).Ee mola wetu tujalie waja wako tuwe ktk wale wataokaojnja zile raha za peponi π π
Wewe mkata mawe a.k.a stanecutter? Mwenzio anachuchumalia kuipata ile pepo ya mabikra 72 na mito ya pombe almaarufu kama Jannah au Firdaus halafu ww unamwambia habari za Yesu?? Hatokuelewa hata kidogo- jaribu tena baadaye.Peponi uende bila kumwamini Yesu Kristo na kuoshwa kwa damu yake? Mwamini Bwana YESU. Kwamba yeye ni mwana wa Mungu na alikufa kwaajili yako. Na umkiri hadharani, Hapo utaokoka. Na kuingia peponi (mbinguni).
Unawaza kuingiliwa tu kama mtume alivyo waagiza kupitia aya hii;Ooh! Huna KY jelly karibu?
La. Hapana; siwazi hilo mkuu. Dhana yangu ni kwamba kama kuvaa kobaaz inakuwa ni vigumu i.e. kiatu-kobaaz haliingii mguuni, ukipaka KY jelly mguu utateleza na hivyo kurahisisha kuingia kwenye kiatu hicho. Lakini nashukuru kwa aya uloniwekea nilikuwa siijui.Unawaza kuingiliwa tu kama mtume alivyo waagiza kupitia aya hii;
Kasema Mtume (s.a.w) βAnamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yakeβ. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Nasra anakula maisha tu huku amezungukwa na totos bikira huko peponi.Ee mola wetu tujalie waja wako tuwe ktk wale wataokaojnja zile raha za peponi π π
Waulize Hezbollah π π π π ...Anacho fanya Israel kwa hizi nchi si ni sawa na Vita lakini mbona amna face to face war ..
πππUko wapi allah? Kobazi hazivaliki huku.
π Duh!Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yakeβ. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Hivi Aya ipo kweli kitabu Cha Dini au ni uzushi
"Mimi ndimi njia, na kweli na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.β Yohana 14:6.Peponi uende bila kumwamini Yesu Kristo na kuoshwa kwa damu yake? Mwamini Bwana YESU. Kwamba yeye ni mwana wa Mungu na alikufa kwaajili yako. Na umkiri hadharani, Hapo utaokoka. Na kuingia peponi (mbinguni).