Damascus: Shambulizi la anga la Israel lasababisha tetemeko la aridhi nchini Syria

Kama kweli huenda Israel analipa kisasi kwa Urusi baada ya waasi wa Houthis wa Yemen kuishambulia Israel mji wa Tel Aviv kwa Hypersonic missile.
Kwa hisia zangu Hawa Houth walipata silaha au teknolojia toka kwa Urusi.
Kwa hiyo Myahudi kapiga kule jikoni kabisa?
 
Ee mola wetu tujalie waja wako tuwe ktk wale wataokaojnja zile raha za peponi πŸ˜‹ πŸ˜‹
Peponi uende bila kumwamini Yesu Kristo na kuoshwa kwa damu yake? Mwamini Bwana YESU. Kwamba yeye ni mwana wa Mungu na alikufa kwaajili yako. Na umkiri hadharani, Hapo utaokoka. Na kuingia peponi (mbinguni).
 
Wewe mkata mawe a.k.a stanecutter? Mwenzio anachuchumalia kuipata ile pepo ya mabikra 72 na mito ya pombe almaarufu kama Jannah au Firdaus halafu ww unamwambia habari za Yesu?? Hatokuelewa hata kidogo- jaribu tena baadaye.
 
Ooh! Huna KY jelly karibu?
Unawaza kuingiliwa tu kama mtume alivyo waagiza kupitia aya hii;

Kasema Mtume (s.a.w) β€œAnamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
 
La. Hapana; siwazi hilo mkuu. Dhana yangu ni kwamba kama kuvaa kobaaz inakuwa ni vigumu i.e. kiatu-kobaaz haliingii mguuni, ukipaka KY jelly mguu utateleza na hivyo kurahisisha kuingia kwenye kiatu hicho. Lakini nashukuru kwa aya uloniwekea nilikuwa siijui.
 
Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)

Hivi Aya ipo kweli kitabu Cha Dini au ni uzushi
 
Anacho fanya Israel kwa hizi nchi si ni sawa na Vita lakini mbona amna face to face war ..
Waulize Hezbollah πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...

Na kelele zao wameambiwa hamna kukanyaga kusini mwa Lebanon, na wametoa

Iran aliambiwa ukileta Askari wako Syria nakupiga kama ngoma akatii
 
Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)

Hivi Aya ipo kweli kitabu Cha Dini au ni uzushi
😁 Duh!

Malaria 2 FaizaFoxy Ritz Webabu
 
Peponi uende bila kumwamini Yesu Kristo na kuoshwa kwa damu yake? Mwamini Bwana YESU. Kwamba yeye ni mwana wa Mungu na alikufa kwaajili yako. Na umkiri hadharani, Hapo utaokoka. Na kuingia peponi (mbinguni).
"Mimi ndimi njia, na kweli na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.” Yohana 14:6.

Yohana 11:25
"Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi"

Mshukuru Mungu, kama umepata nafasi ya kuijua iliyo NJIA ya kumfikia BABA.
 
Back
Top Bottom