Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Ayatollah ni father wa revolutions hivyo anajua Israel akikaa Kwa amani Iran itasumbuliwa TU hivyo ni kumkeep accupied that's why Yemen na Palestine zinatakiwa kuwa strong
Ayatolah angechagua AMANI angeenda Tel Aviv na kusainiana Amani na kuvunja vunja hizo Proxy Hezbola Houthi nk.
 
🇮🇷| NEW: Iran successfully sent into space its heaviest-ever payload using the Simorgh SLV rocket carrier including an advanced module for transferring satellites to higher-altitude orbits.

The Saman-1 transfer module, along with a CubeSat and a research payload were successfully placed in an elliptical orbit with a high point of 410 km.

The Simorgh SLV, a 2-stage liquid-fuelled satellite launch vehicle, fully domestically built.

This marks its 8th launch, achieving a new milestone.

@FotrosResistance
 
Ayatolah anatest Intercontinental Balistic Missiles kijanja lengo lake ni nini, au anataka kuishambulia US Direct?!
 
Pigeni sarakasi weee lakini mwisho wa siku lazima Kuna mwisho wake na mwisho wa US na mazayuni hautakua mzuri Kwa damu mnazomwaga hovyo
Hakuna baya linalofanywa na Israel, kama mtu anataka kuiona pepo kwa nguvu Israel ni nani amzuie? Ww binafsi huitaji pepo?

Msiwe wachoyo wa fadhila wapeni pongezi IDF na USA bwana
 
Huyo anaota hata Hezbullah wamesema lazima wakawachape hao magaidi wa Israel na US.
 
Mpya: Mapigano makali yanaendelea kwenye Mji wa Al Rastan Majeshi ya Serikali na Wanamgambo wa Kishia wanatoa upinzani mkali lakini inaonyesha wanarudishwa nyuma.

Raia wa Kisunni waliochoka utawala wa Assad wanawasaadia Waasi wa Kisunni kwa Intelligence na kutoa GPS possitions za walipo Askari wa Assad.
 
Hiyo Damascus bado itaonja joto ya Jiwe. Tunasubiri utimilifu wa Unabii wa kuangamizwa kwa Damascus. Pengine ndiyo dalili zimeanza. Isaya 17:1
 
Safari hii Ustazi ndio mwisho wa Assad, hadi kamuomba Netanyahu kupitia Saudia kuwa atawaondoa IRGC na kuwarudisha Iran Netanyahu kamtolea nje😆😁
Hizo habari la kanisa la masanja mkandamizi sio.

Hezbullah watapeleka kikosi huko kikawamalize Assad hawezi kutolewa pale si Nyau au Trump wataweza kumuondoa Assad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…