stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
View: https://x.com/OALD24/status/1864990491743228037?t=_E7VAVPpof6Wjw8osAwI2w&s=19
Jeshi la Assad lime collapse haraka sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ayatolah angechagua AMANI angeenda Tel Aviv na kusainiana Amani na kuvunja vunja hizo Proxy Hezbola Houthi nk.Ayatollah ni father wa revolutions hivyo anajua Israel akikaa Kwa amani Iran itasumbuliwa TU hivyo ni kumkeep accupied that's why Yemen na Palestine zinatakiwa kuwa strong
Pigeni sarakasi weee lakini mwisho wa siku lazima Kuna mwisho wake na mwisho wa US na mazayuni hautakua mzuri Kwa damu mnazomwaga hovyo
View: https://x.com/OALD24/status/1864990491743228037?t=_E7VAVPpof6Wjw8osAwI2w&s=19
Jeshi la Assad lime collapse haraka sana...
Ayatolah anatest Intercontinental Balistic Missiles kijanja lengo lake ni nini, au anataka kuishambulia US Direct?!🇮🇷| NEW: Iran successfully sent into space its heaviest-ever payload using the Simorgh SLV rocket carrier including an advanced module for transferring satellites to higher-altitude orbits.
The Saman-1 transfer module, along with a CubeSat and a research payload were successfully placed in an elliptical orbit with a high point of 410 km.
The Simorgh SLV, a 2-stage liquid-fuelled satellite launch vehicle, fully domestically built.
This marks its 8th launch, achieving a new milestone.
@FotrosResistance
Hakuna baya linalofanywa na Israel, kama mtu anataka kuiona pepo kwa nguvu Israel ni nani amzuie? Ww binafsi huitaji pepo?Pigeni sarakasi weee lakini mwisho wa siku lazima Kuna mwisho wake na mwisho wa US na mazayuni hautakua mzuri Kwa damu mnazomwaga hovyo
Hizbullah Hawa Hawa waliowatelekeza Hamas kwa kuomba ceasefire? Au unaongelea Hizbullah wa kizimkazi?Wale wajomba hawakua tayari imewashtua Sana uvamizi huu sema kuingia Kwa hezb itakua nafuu kwao hovyo kabisa hao jamaa
We dogo ungewekeza kwenye Elimu. Inaonekana hukupenda kabisa shule. Wagaratia ndo nini? Asad ni wa wapi?Hao waasi watakapo anza kuwashughulikia wagaratia wenzenu tusije kusikia kelele maana sasa hivi mpo mnawashangilia na Asad anaye walinda hamumtaki.
Oya mbona kama vile unawashwa na comment zangu au unahitaji kukunwa?We dogo ungewekeza kwenye Elimu. Inaonekana hukupenda kabisa shule. Wagaratia ndo nini? Asad ni wa wapi?
Kutoka madrassa ya tandale kwa mfuga mbwaHuu uwongo ulipokea kutoka kijiwe cha mchungaji gani!!!
Una uhakika gan kuwa mwisho wake hautakuwa mwisho wetu sote?Pigeni sarakasi weee lakini mwisho wa siku lazima Kuna mwisho wake na mwisho wa US na mazayuni hautakua mzuri Kwa damu mnazomwaga hovyo
Huyo anaota hata Hezbullah wamesema lazima wakawachape hao magaidi wa Israel na US.Ndivyo unavyodhani?
Hujasikia Wagner wanaachiwa kwenda Syria?
Hujasikia Iran kapeleka glide bombs za kutosha?
Hujasikia Iran kapeleka special force?
Hujasikia thousands and thousands wapiganaji kutoka Iraq wanaingia Syria?
Halafu wanajeshi wa Syria wame withdrew kutoka kwenye huo mji uliyotekwa na waasi!
Hii vita bado ni mbichi!
Hao wanasubiriwa waingie ndani kabisa, ili kipondo cha uhakika kikianza kitaacha historia hapo!
Hiyo Damascus bado itaonja joto ya Jiwe. Tunasubiri utimilifu wa Unabii wa kuangamizwa kwa Damascus. Pengine ndiyo dalili zimeanza. Isaya 17:1Habari za hivi punde zinadai,Wapiganaji wa HTS ambao wanasadikika kuungwa mkono na nchi ya Uturuki, wameuzingira mji wa nne kwa ukubwa nchini Syria wa HAMA kusini Magharibi mwa nchi hiyo. Mji huo upo umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa Damascus.
Ikumbukwe kuwa, Wiki iliyopita, Waasi hao walifanya mashambulizi ya kushitukiza na kuuteka mji wa pili kwa ukubwa nchini Syria wa Aleppo.
Jeshi la anga la Syria (SAA) likisaidiwa na ndege za kivita za Urusi zilishambulia mji wa IDLIB ambao ulikuwa ngome kuu ya wapiganaji hao tangu mwaka 2015. Hata hivyo, Mashambulizi hayo yanaonesha kutowarudisha nyuma waasi hao.
Endapo mji wa HAMA utadhibitiwa na waasi hao,Basi watakuwa umbali wa Kilometa 78 kutoka mji wa tatu kwa ukubwa nchini Syria wa HOMS na umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa DAMASCUS.
Hata hivyo,Waziri wa Mambo ya nje wa Iran ameilaani Marekani na Israel kwa kushambulia msafara wa Wapiganaji kutoka Iraq waliokuwa wanakwenda kuisaidia jeshi la Syria kupigana vita vya Ardhini na waasi hao.
Uturuki imeitaarifu Urusi kuacha kutumia ndege zake kuwashambulia Raia lasivyo Uturuki itapeleka Mifumo ya Ulinzi wa Anga Kasikazini mwa Syria ili Kuziangusha ndege za Urusi na Syria ambazo zinafanya mashambulizi hayo.
Source: Aljazeera
: Dw English
Hizo habari la kanisa la masanja mkandamizi sio.Safari hii Ustazi ndio mwisho wa Assad, hadi kamuomba Netanyahu kupitia Saudia kuwa atawaondoa IRGC na kuwarudisha Iran Netanyahu kamtolea nje😆😁
Hujasikia kuwa Ndege za Israel zimewashambulia Hezbola huko Syria na wengi wameuwawa?!Hezbullah watapeleka kikosi huko