Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Nadhani bashar el assad muda wake umeisha
 
Nimepata kitu kipya hapa. Ngoja niendelee kujifunza.
 
Kweli kanisani mnasomeshwa mpaa kuosha wanawake uchi


View: https://youtu.be/GMPp3gCaTww?si=neo-m8K_wApKrMVY
Dini yenu niyakishetani noma sana, lazima mtachukia madrasa hahaha
Apo utasikia Netanyahu asifiweeee na makofi vigelegele!!
!!!! watu mapumbavu kwakwali afu utaona kama ivi kuoga kuwanyoa mavuzzzz adi kuwakojoza mbele za watu kinachoshangaza zaid nikuwa ni Wadada tu ndio wanakuwa mfano sio wanaume Wadada wanapitia mengi sana ktk maisha yao sasa seen kama iyo unapaitaje zaid Kijiwe cha Uzinzi mtoto wakike anaogeswaje au kupakwa mafuta na mwanaume seem kama iyo ndio utasikia sana Asifiwe Asifiwe lkn tuwape uhuru wao Iman zetu ndio zinataka tuwe wapole tuonapo mambo kama aya.
 
BREAKING NEWS

Waasi wa HTS wameudhibiti mji wa DEIR ez-ZOR Nchini Syria. Mji huo ndio unabarabara kuu inayotoka mji wa Bandari wa LAITIKIA Kuelekea Miji ya HOMS na DAMASCUS nchini Syria.

Wakati huo huo,Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imewataka raia wake kuondoka nchini Syria kuelekea Uturuki. Wanadiplomasia wa Urusi na Iran wameamriwa kuondoka na nchi zao.
Urusi imeiomba Uturuki kuikubalia kupitisha Meli zake kupitia Mlango wa BOSPHORUS GAP ili Kuziondoa kwenye bandari ya LAITIKIA iliyoko bahari ya Mediterranea kabla haijazingirwa na Waasi hao. Uturuki bado haijatoa majibu.

Wakati huo huo,jeshi la Israel limepeleka vifaru na Askari wa miguu kwenye milima ya Golan ili kuhakikisha Ulinzi wa Ardhi yake hautishiwi na kinachoendelea nchini Syria. Ndege za kivita za Israel zimeanza mashambulizi mjini Damascus kuzilenga ngome za kijeshi za Serikali ya Syria na wanamgambo wa Kishia.
 
— ❗️🇸🇾/🇮🇷 NEW: The Syrian government has reportedly rejected an Iranian offer to send two brigades of regular troops into Syria, out of fear that it would 'tarnish Assad's domestic support' and that it would 'provoke Israel to enter Syria' – Source

@Middle_East_Spectator
 
Kuna ukweli mwingi umeongea ila umeandika pumba uislam hapa umeingiaje
 
Ila leo hii muda huu nnapoandika hii txt kuna breaking news grossi analalama kwamba Iran wamerutubisha urani kwa 60 ambayo inaweza unda nyuklia sasa mbona mnatuchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…