GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushatepeta SheikhPigeni sarakasi weee lakini mwisho wa siku lazima Kuna mwisho wake na mwisho wa US na mazayuni hautakua mzuri Kwa damu mnazomwaga hovyo
Bila kumsahau Hammaz wote wametepeta saa hii,washaona uhalisia wa mambo 🏃🏃Ushatepeta Sheikh
Nadhani bashar el assad muda wake umeishaHabari za hivi punde zinadai,Wapiganaji wa HTS ambao wanasadikika kuungwa mkono na nchi ya Uturuki, wameuzingira mji wa nne kwa ukubwa nchini Syria wa HAMA kusini Magharibi mwa nchi hiyo. Mji huo upo umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa Damascus.
Ikumbukwe kuwa, Wiki iliyopita, Waasi hao walifanya mashambulizi ya kushitukiza na kuuteka mji wa pili kwa ukubwa nchini Syria wa Aleppo.
Jeshi la anga la Syria (SAA) likisaidiwa na ndege za kivita za Urusi zilishambulia mji wa IDLIB ambao ulikuwa ngome kuu ya wapiganaji hao tangu mwaka 2015. Hata hivyo, Mashambulizi hayo yanaonesha kutowarudisha nyuma waasi hao.
Endapo mji wa HAMA utadhibitiwa na waasi hao,Basi watakuwa umbali wa Kilometa 78 kutoka mji wa tatu kwa ukubwa nchini Syria wa HOMS na umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa DAMASCUS.
Hata hivyo,Waziri wa Mambo ya nje wa Iran ameilaani Marekani na Israel kwa kushambulia msafara wa Wapiganaji kutoka Iraq waliokuwa wanakwenda kuisaidia jeshi la Syria kupigana vita vya Ardhini na waasi hao.
Uturuki imeitaarifu Urusi kuacha kutumia ndege zake kuwashambulia Raia lasivyo Uturuki itapeleka Mifumo ya Ulinzi wa Anga Kasikazini mwa Syria ili Kuziangusha ndege za Urusi na Syria ambazo zinafanya mashambulizi hayo.
Source: Aljazeera
: Dw English
Nimepata kitu kipya hapa. Ngoja niendelee kujifunza.Haya mambo ni makubwa hutoyaelewa, utaishia ku Google Google na kuleta ubishi kwa mambo ambayo hauna uelewa nayo!
Sunni itikadi yao Mungu hayupo mbinguni, bali mamlaka yake kayaweka mbinguni na hakuna kilichomfunga. Yaani kaepukana na mambo 6. Mungu hayupo juu(1) ya, au chini(2) ya, au kuliani (3) mwa, au kushoto(4) mwa, au mbele (5) ya, au nyuma (6) ya!
Wahabi itikadi yao Mungu yupo juu mbinguni!
Wahabi itikadi yao Mungu ana mkono, mguu n.k
Sunni itikadi yao Mungu hamithiliki na chochote kwa maana chochote hakifanani na Mungu na kaepukana na (jism) yaani sifa ya kuwa na mkono au mguu!
Sunni itikadi yao Mtume bado yu hai mpaka kaburini kwake pamoja na mitume mengine.
Wahabi itikadi yao Mtume ameshakufa! Yaani kama mpeleka barua, kapeleka barua na kazi yake imeshakwisha.
------------------
Mpaka hapo wanafanana?
Kweli kanisani mnasomeshwa mpaa kuosha wanawake uchi
View: https://youtu.be/GMPp3gCaTww?si=neo-m8K_wApKrMVY
Dini yenu niyakishetani noma sana, lazima mtachukia madrasa hahaha
Saivi haui mtu kwa mitazamo ya dini, kabda ya vita kuanza alienda kutembelea maeneo ya watu druze na kufanya vikao, ambao wengi wao ni wakristo na wengine wanaamini katika Jesus na Muhammad. Pia saivi ukiangalia picha za saivi anavaa pamba za kimagharibi gharibiHaui wakristo au bado anaua?
Hahahaha hujui muislam hatepeti kutoka kwenye maagizo aliyopewa ni Kama wewe ukae ukisuburi siku adhana iachwe kusikikaUshatepeta Sheikh
Ni typing error, kuna Hama city onlyMleta uzi kasema mji wa Homa huelewi
Kuna ukweli mwingi umeongea ila umeandika pumba uislam hapa umeingiajeWaislam mnapenda/mnafundishwa kuwa Delusional sana.
Ni jambo halitaki ujuzi mkubwa kutambua, Jeshi la Assad linacollapse kuliko walivotarajia, Hezbollah viongozi na makamanda wake wengi wamekufa au ni vilema na Bado wako standby Lebanon kuona kama Israeli itaenda ndani zaidi ya Lebanon, pia Israel ilishambulia Hadi benki za Hezbollah, na vyanzo vingine vya mapato hivyo Iran na Assad wameumiziawa mashirika wao mkubwa sana.
Assad, Iran na Urusi hawawezi Kuisaidia Assad kwa muda mfupi zaidi ya kutafuta uwezekank wa Kuigawa Syria kwenye vitaifa vidogo vinavyowaunga mkono.
Hapo Syria kwa sehemu kubwa ni vita ya Kidini Kati ya Waislam na Waislam hawagombei Democracy au Uchumi now Wanapigana kulipa Kisasi na kueneza Ushia na Sunni.
Hata kama hawasemi popote pande zinazopigana Zinatamani Israel iwe upando wao, Kwa Assad/Iran/Hezbollah wanatamani msaada wa Israel kuzuia advances za Waasi na wao wawe kama buffer state Kati ya Israel na hao Wasunni ambao wametokana na ISIS.
Same Wasunni wanatamani Israel iendelee kuishambulia Syria na Hezbollah wao waziri kusonga mbele.
Hapa itakavokuwa kuna Chance kubwa Israel kuingia Syria upande wa Golan, na Hata kuzungumza na Waarabu wa Druze waunde Nchi Kati ya Israel na Damascus
Angalia usije ukagawanywa wewe kichwa kule na tumbo huko HeheheLengo wamchoshe tu huyo mjinga na majibu yameshaanza kupatikana mda sio mrefu moscow itagawanywa
Iran inachelewa kuchukua hatua kuwapeleka "Iran revolutionary guards" au imeamua kumtosa Assad ?Wakuu,,Inavyoonekana Waasi wa Kisunni wanachukua Nchi muda si mrefu.
Ila leo hii muda huu nnapoandika hii txt kuna breaking news grossi analalama kwamba Iran wamerutubisha urani kwa 60 ambayo inaweza unda nyuklia sasa mbona mnatuchanganyaIran hawezi kabisa kujibu.
Yeyote mwenye akili timamu anajua.
Watu wameingia hadi chumbani kwako bila kizuizi chochote, wakakupiga wakavunja mguu wakaamua kukusamehe na kuondoka, utawafuata kwao?
Halafu ukamsikia baba yao nae anakuambia uache ujinga wa kurusha rusha vikombora nyumbani kwa mwanae, utaendelea kurusha?
Mifumo ya ulinzi ya waajemi iliharibiwa, vifaa vya kutengeneza makombora viliangamizwa, sehemu ya siri ya kurutubisha nyuklia kwny mji wa Parchin iliteketezwa!
Iran ni kama vile alivunjwa miguu, sasa anachechemea.