Wewe kwasasa ndio mbishi kuanzia Quruani nzima iko kwenye Internet kuna Islamic Chanel kwenye Internet kuna Historia ya Dini nzima ya Kiisilamu hadi jinsi Dhehebu la Shia lilivyopatikana sasa wewe unataka kumdanganya nani Shehe?!
Sheikh Imhotep!
Acha ubishi! Umesema elimu yote ya uislamu kwa sasa ipo kwenye internet basi niletee kitabu cha Imam Suyutwi cha Houjatum mudhakkiriina.
----------
Kwenye internet Qur'an ipo nzima kimatini, na kitarjum yaani kuibadilisha Qur'an kutoka kwenye lugha yake ya asili ya kiarabu kwenda kwenye lugha isiyo ya kiarabu, ila siyo kitafsiri.
Aya moja ya Qur'an inafafanuzi mpaka 40, utakuta wapi kwenye internet? Na hapo prngine ni tafseer ya kitabu kimoja tu hujaenda kwenye kitabu kingine.
Hiyo dini nzima kwenye internet unaikutia wapi?
--------------
Mawahabi wameonesha kupingana na Salaf us Salih na Ahlu sunnah wal Jama'a (ambapo hapa nawazungumzia sunni) kwenye nyanja tofauti.
Mpaka kufikia kuandikwa vitabu na wanazuoni wa kisunni kuonya juu ya fitna zao.
Vitabu kama Umara Al Baladil Haraam. Kilichoandikwa na mwalimu wa wanawazuoni huko Makka, Mufti wa madheheb ya Shafii, Sheikh Ahmad Bin Zayni Dahlan aliyekufa mwaka 1304 Hijiria sawa na mwaka 1887, Vitabu kama Fitnatul Wahabiyya (Fitna ya Mawahabi) n.k
Imam Naswawi ambaye ni mwanawazuoni wa kisunni anasema katika suratul fatwir aya ya 6 anasema mahawabiya wote ni Junudi Shayatwiin, jeshi la mashetani.
Kwa uchache ndiyo hivyo! Wewe si muislam na si sunni, hivyo huna cha kunifundisha mimi muislam ambaye ni sunni.
Na sunni huwezi kumsikia akigombana na Shia, au Ibadh n.k
Au kugombana na mkristo. Au kuchinja wakristo, Sunni hizo tabia hawana!
Sasa umkute wahabi aliyeiva kwenye itikadi utamkoma! Atakuona wewe ambaye si muislam hapa duniani umekuja kwa bahati mbaya! Yaani Imhotep hao unaowafurahia wakikudaka ndiyo mwisho wa kuchat hapa Jf.
Na Muislam ambaye hafuati msingi wa itikadi yao amepotea! Ukikaa vibaya muislam mwenzake huyo huyo wahabi atakupa jina la wewe ni mshirikina, kuchinjwa ni lazima. Yaani atamchinja muislam mwenzake.
Wewe endelea kusheherehekea na magaidi wenzako hao Isis.