Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Jana kuna habari ililetwa humu ikisema kuwa Homs umesha tekwa kumbe ulikuwa ni uongo?

Ila waasi wasipo weza kumuangusha Asad kipindi hichi hawatakuja kupata bahati hii tena.
Na pia Asad asipo inua morali ya wapiganaji wake na wakaendelea kurudi nyuma kirahisi ita wafanya hata washirika wake wanao msaidia kumkatia tamaa maana hakuna mtu atakuwa tiyari kuwekeza kwenye hasara.
 
Mkuu jaribu kuwa unachunguza vyanzo vya habari unazo zileta humu nyingine ni kamba.
 
Iran inachelewa kuchukua hatua kuwapeleka "Iran revolutionary guards" au imeamua kumtosa Assad ?
Inasemekana Ayatolah anamuogopa sana Trump , kapata fununu kuwa Trump ataivamia Iran.

Kwahiyo naona kaamua tu kumtosa Assad ili kujiokoa yeye na Islamic Regime yake.

Kwasababu Ayatolah ndio adui wa Amani ya Middle East.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒila jf kuna burudani.
 
Assad alikua mzembe sana hata kuleta upinzani hamna kabisa yaan anataka Urusi na Iran wapiganie kwa ajili yake kweli hata yeye kufurukuta hamna? Yaan kenya ivamiwe wakafe JW? Yule babu ata kama msaada hio haipo, hapo wabadili gia angani anaeshinda ndio huyo huyo wakuunga mkono
 
Mnaanza kumtosa AssadπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ˜‚
Adiosamigo
 
Dah unaongea kwa uchungu sana ndugu yangu
 
Huyu jamaa Israel wasimuamini sana anaweza kuja kuwasumbua wakaona afadhali ya Assad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…