Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Iwapo waasi watauteka mji huo wa Homs, itamaanisha kuwa Assad hatokuwa tena na udhibiti katika eneo la pwani ya bahari ya Mediterania, ambalo ni ngome muhimu ya ukoo wake ulioitawala Syria kwa miongo mitano iliyopita. Mkuu wa kundi hilo la waasi amesema wanalenga kusonga mbele hadi mji mkuu Damascus na kuuangusha utawala wa Assad.
Jana kuna habari ililetwa humu ikisema kuwa Homs umesha tekwa kumbe ulikuwa ni uongo?

Ila waasi wasipo weza kumuangusha Asad kipindi hichi hawatakuja kupata bahati hii tena.
Na pia Asad asipo inua morali ya wapiganaji wake na wakaendelea kurudi nyuma kirahisi ita wafanya hata washirika wake wanao msaidia kumkatia tamaa maana hakuna mtu atakuwa tiyari kuwekeza kwenye hasara.
 
BREAKING NEWS

Waasi wa HTS wameuteka mji wa SWEIDA ambao upo umbali wa viunga vya jiji la HOMS. Ni baada ya wanajeshi wa Syria kuacha ngome zao na kukimbia mapigano.

Taarifa zinasema kwamba,Mke wa rais wa Syria ambaye ni Mzaliwa wa Uingereza akiwa pamoja na wanawe 3 ameikimbia Syria na kuelekea nchini Urusi.
Pia,Shemezi zake 3 wa Rais huyo wameitoroka nchi na kuelekea nchini Misri. Jeshi la Urusi limetoa taarifa likisema halina mpango wa kutoa msaada wa kijeshi kwa Asad. Hii ni baada ya Russia kukasirishwa na kitendo cha wanajeshi wa Syria kukimbia uwanja wa mapambano.

Nchi nyingi washirika wa Syria wamemsihi rais Bashar Al Asad aikimbie nchi kabla ya mji wa Damascus kutekwa na waasi hao. Hata hivyo,Rais wa Syria hajaonesha nia ya kuikimbia nchi yake mpaka sasa.
Mkuu jaribu kuwa unachunguza vyanzo vya habari unazo zileta humu nyingine ni kamba.
 
Iran inachelewa kuchukua hatua kuwapeleka "Iran revolutionary guards" au imeamua kumtosa Assad ?
Inasemekana Ayatolah anamuogopa sana Trump , kapata fununu kuwa Trump ataivamia Iran.

Kwahiyo naona kaamua tu kumtosa Assad ili kujiokoa yeye na Islamic Regime yake.

Kwasababu Ayatolah ndio adui wa Amani ya Middle East.
 
Assad alikua mzembe sana hata kuleta upinzani hamna kabisa yaan anataka Urusi na Iran wapiganie kwa ajili yake kweli hata yeye kufurukuta hamna? Yaan kenya ivamiwe wakafe JW? Yule babu ata kama msaada hio haipo, hapo wabadili gia angani anaeshinda ndio huyo huyo wakuunga mkono
 
Mnaanza kumtosa Assad😆😆😆😆🤣😂
Adiosamigo
 
Assad alikua mzembe sana hata kuleta upinzani hamna kabisa yaan anataka Urusi na Iran wapiganie kwa ajili yake kweli hata yeye kufurukuta hamna? Yaan kenya ivamiwe wakafe JW? Yule babu ata kama msaada hio haipo, hapo wabadili gia angani anaeshinda ndio huyo huyo wakuunga mkono
Dah unaongea kwa uchungu sana ndugu yangu
 
Mkuu wa Waasi wa Kisunni Kamanda Abu Mohamed Al Jolani kaamua kubadilisha muonekano wake kapunguza kuvaa Vilemba na Kanzu kaamua kuupunguza na Mzuzu kaamua kuvaa kawaida.

View attachment 3170608
Before muonekano wa Kigaidi.
View attachment 3170609
After amepiga Pamba za Kimagharibi na hana muonekano wa kutisha.
Huyu jamaa Israel wasimuamini sana anaweza kuja kuwasumbua wakaona afadhali ya Assad
 
Back
Top Bottom