ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Jana kuna habari ililetwa humu ikisema kuwa Homs umesha tekwa kumbe ulikuwa ni uongo?Iwapo waasi watauteka mji huo wa Homs, itamaanisha kuwa Assad hatokuwa tena na udhibiti katika eneo la pwani ya bahari ya Mediterania, ambalo ni ngome muhimu ya ukoo wake ulioitawala Syria kwa miongo mitano iliyopita. Mkuu wa kundi hilo la waasi amesema wanalenga kusonga mbele hadi mji mkuu Damascus na kuuangusha utawala wa Assad.
Ila waasi wasipo weza kumuangusha Asad kipindi hichi hawatakuja kupata bahati hii tena.
Na pia Asad asipo inua morali ya wapiganaji wake na wakaendelea kurudi nyuma kirahisi ita wafanya hata washirika wake wanao msaidia kumkatia tamaa maana hakuna mtu atakuwa tiyari kuwekeza kwenye hasara.