Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

IQ ya Wazuyuni ni level ya kunyweya Whisky, au labda IQ ya kumtundika Yesu msalabani hahaha, unawaongelea watu wenye kutingisha vichwa vyao kwenye ukuta kama mijusi na watu wanao tegemea kila kitu kutoka USA 😆 😂
Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnaleta mihemuko.
 
Bora Taliban walikuwa na nguvu kuliko jeshi la Afghanistan hiyo ilionekana wazi hata kabla na kila mwenye uelewa alijua Afghanistan itaanguka ila tu haikujulikana lini. Ikaja kuanguka kwa haraka.

Kwa Syria hawa waasi hawakuwa na nguvu kulishinda jeshi, ni uvivu na kubweteka tu.
Hata Urusi na Iran wakiamtelekeza hawana cha kulaumiwa kwakweli.
 
Sawa hawa ndio watakao rudisha Gollan time will tell, Israel watamkubuka Assad
Golan ilitekwa kwenye Vita kama ilivyotekwa Sinai itarudishwa kwa mazungumzo kama ilivyorejeshwa Sinai lakini kwa nguvu sahau ustazi.
 
View attachment 3171548
Gaidi Mstaafu anaenda kuwa Raisi wa Syria May Allah grant him Jannah...
Unajua nini Sheikh Imhotep!

Russia should just leave
Syrian army isn’t ready to fight
It’s not the fault of Putin.

Unajua nini, kimasihara huyu gaidi atakuwa rais. Ila wamagharibi wahuni sana, mara ya kwanza walimtangaza kama gaidi, kwa sasa hivi ni freedom fighter!

Ndiyo muelewe sasa hawa magaidi ni project ya US na Israel.
 
Kasema ameachana na Ugaidi na ametubu kwa Allah na Serikali yake itakuwa ni Inclusive Madhehebu yote ya Kiislamu Madhehebu yote ya Kikristo na Wayahudi wa Syria pia watahusishwa kwenye Serikali yake mpya.
 
Zole Albadiri zenu mlizokuwa mkiisomea Israel zimefikia wapi shehe?!
Nani aliye soma Albadri? Hivi we unadhani Albadri inasomwa hovyo hovyo. Sijawahi kusikia Albadri inasomwa vitani kweli Shetanyahu kawapoteza sana wamwmtundika Yesu msalabani afu mnawasifia eti wana IQ.

Hivi we umewacha kutumia dozi za mirembe siku hizi, wahi wasije kukurudisha kwenye kitanda chako. Hivi kilikuwa number ngapi vile?
 
Nani aliye soma Albadri? Hivi we unadhani Albadri inasomwa hovyo hovyo. Sijawahi kusikia Albadri inasomwa vitani kweli Shetanyahu kawapoteza sana wamwmtundika Yesu msalabani afu mnawasifia eti wana IQ.
Kwenye huu mgogoro mumeaibika sana Dunia nzima imeona LIVE mnavyotandikwa na kukorogwa huku Allah akiwa amewatosa.
 
Unajua nini Sheikh Imhotep!

Russia should just leave
Syrian army isn’t ready to fight
It’s not the fault of Putin.

Unajua nini, kimasihara huyu gaidi atakuwa rais. Ila wamagharibi wahuni sana, mara ya kwanza walimtangaza kama gaidi, kwa sasa hivi ni freedom fighter!

Ndiyo muelewe sasa hawa magaidi ni project ya US na Israel.
Bora umeanza kuukubali uhalisia shekhe Wangu🤩😍
 
Habari za hivi punde zinadai,Wapiganaji wa HTS ambao wanasadikika kuungwa mkono na nchi ya Uturuki, wameuzingira mji wa nne kwa ukubwa nchini Syria wa HAMA kusini Magharibi mwa nchi hiyo. Mji huo upo umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa Damascus.

Ikumbukwe kuwa, Wiki iliyopita, Waasi hao walifanya mashambulizi ya kushitukiza na kuuteka mji wa pili kwa ukubwa nchini Syria wa Aleppo.

Jeshi la anga la Syria (SAA) likisaidiwa na ndege za kivita za Urusi zilishambulia mji wa IDLIB ambao ulikuwa ngome kuu ya wapiganaji hao tangu mwaka 2015. Hata hivyo, Mashambulizi hayo yanaonesha kutowarudisha nyuma waasi hao.

Endapo mji wa HAMA utadhibitiwa na waasi hao,Basi watakuwa umbali wa Kilometa 78 kutoka mji wa tatu kwa ukubwa nchini Syria wa HOMS na umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa DAMASCUS.

Hata hivyo,Waziri wa Mambo ya nje wa Iran ameilaani Marekani na Israel kwa kushambulia msafara wa Wapiganaji kutoka Iraq waliokuwa wanakwenda kuisaidia jeshi la Syria kupigana vita vya Ardhini na waasi hao.

Uturuki imeitaarifu Urusi kuacha kutumia ndege zake kuwashambulia Raia lasivyo Uturuki itapeleka Mifumo ya Ulinzi wa Anga Kasikazini mwa Syria ili Kuziangusha ndege za Urusi na Syria ambazo zinafanya mashambulizi hayo.

Source: Aljazeera
: Dw English
Wameshafika viunga vya mji wa Damascus tayari
 
Back
Top Bottom