Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Sawa hawa ndio watakao rudisha Gollan time will tell, Israel watamkubuka AssadView attachment 3171548
Gaidi Mstaafu anaenda kuwa Raisi wa Syria May Allah grant him Jannah...
Kwako Malaria 2 nini maoni yako?!
Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnaleta mihemuko.IQ ya Wazuyuni ni level ya kunyweya Whisky, au labda IQ ya kumtundika Yesu msalabani hahaha, unawaongelea watu wenye kutingisha vichwa vyao kwenye ukuta kama mijusi na watu wanao tegemea kila kitu kutoka USA 😆 😂
Hata Urusi na Iran wakiamtelekeza hawana cha kulaumiwa kwakweli.Bora Taliban walikuwa na nguvu kuliko jeshi la Afghanistan hiyo ilionekana wazi hata kabla na kila mwenye uelewa alijua Afghanistan itaanguka ila tu haikujulikana lini. Ikaja kuanguka kwa haraka.
Kwa Syria hawa waasi hawakuwa na nguvu kulishinda jeshi, ni uvivu na kubweteka tu.
Kama vile wewe unaongelea IQ hata hujui mana yake, watu wenye IQ hawawezi kufanya genocide unless wawe vichaa tuTatizo lenu mkiambiwa ukweli mnaleta mihemuko.
Golan ilitekwa kwenye Vita kama ilivyotekwa Sinai itarudishwa kwa mazungumzo kama ilivyorejeshwa Sinai lakini kwa nguvu sahau ustazi.Sawa hawa ndio watakao rudisha Gollan time will tell, Israel watamkubuka Assad
Unajua nini Sheikh Imhotep!View attachment 3171548
Gaidi Mstaafu anaenda kuwa Raisi wa Syria May Allah grant him Jannah...
UkiFAFO kama Hamas halafu unaende kujificha kwa Wanawake na Watoto lazima utiwe adabu.Kama vile wewe unaongelea IQ hata hujui mana yake, watu wenye IQ hawawezi kufanya genocide unless wawe vichaa tu
Mtagemea watu wamsaidia siku zote hafiki mbali, Israel siku zake haziko mbali.Golan ilitekwa kwenye Vita kama ilivyotekwa Sinai itarudishwa kwa mazungumzo kama ilivyorejeshwa Sinai lakini kwa nguvu sahau ustazi.
Kasema ameachana na Ugaidi na ametubu kwa Allah na Serikali yake itakuwa ni Inclusive Madhehebu yote ya Kiislamu Madhehebu yote ya Kikristo na Wayahudi wa Syria pia watahusishwa kwenye Serikali yake mpya.Unajua nini Sheikh Imhotep!
Russia should just leave
Syrian army isn’t ready to fight
It’s not the fault of Putin.
Unajua nini, kimasihara huyu gaidi atakuwa rais. Ila wamagharibi wahuni sana, mara ya kwanza walimtangaza kama gaidi, kwa sasa hivi ni freedom fighter!
Ndiyo muelewe sasa hawa magaidi ni project ya US na Israel.
We unaonyesha ulikuwa mpishi jeshini, huna unalo jua.UkiFAFO kama Hamas halafu unaende kujificha kwa Wanawake na Watoto lazima utiwe adabu.
Zile Albadiri zenu mlizokuwa mkiisomea Israel zimefikia wapi shehe?!Mtagemea watu wamsaidia siku zote hafiki mbali, Israel siku zake haziko mbali.
Lete hoja moto moto acha upuuzi.We unaonyesha ulikuwa mpishi jeshini, huna unalo jua.
Nani aliye soma Albadri? Hivi we unadhani Albadri inasomwa hovyo hovyo. Sijawahi kusikia Albadri inasomwa vitani kweli Shetanyahu kawapoteza sana wamwmtundika Yesu msalabani afu mnawasifia eti wana IQ.Zole Albadiri zenu mlizokuwa mkiisomea Israel zimefikia wapi shehe?!
Mmeisha chukua Damascus au bado, vijana wa ISIS kikosi cha Israel hicho.Lete hoja moto moto acha upuuzi.
Kwenye huu mgogoro mumeaibika sana Dunia nzima imeona LIVE mnavyotandikwa na kukorogwa huku Allah akiwa amewatosa.Nani aliye soma Albadri? Hivi we unadhani Albadri inasomwa hovyo hovyo. Sijawahi kusikia Albadri inasomwa vitani kweli Shetanyahu kawapoteza sana wamwmtundika Yesu msalabani afu mnawasifia eti wana IQ.
IQ kubwa inaonyesha kupitia Intelligence mnawekewa hadi Pager zenye mabomu eti Inshaala.😆😆😁Mmeisha chukua Damascus au bado, vijana wa ISIS kikosi cha Israel hicho.
Bora umeanza kuukubali uhalisia shekhe Wangu🤩😍Unajua nini Sheikh Imhotep!
Russia should just leave
Syrian army isn’t ready to fight
It’s not the fault of Putin.
Unajua nini, kimasihara huyu gaidi atakuwa rais. Ila wamagharibi wahuni sana, mara ya kwanza walimtangaza kama gaidi, kwa sasa hivi ni freedom fighter!
Ndiyo muelewe sasa hawa magaidi ni project ya US na Israel.
Wameshafika viunga vya mji wa Damascus tayariHabari za hivi punde zinadai,Wapiganaji wa HTS ambao wanasadikika kuungwa mkono na nchi ya Uturuki, wameuzingira mji wa nne kwa ukubwa nchini Syria wa HAMA kusini Magharibi mwa nchi hiyo. Mji huo upo umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa Damascus.
Ikumbukwe kuwa, Wiki iliyopita, Waasi hao walifanya mashambulizi ya kushitukiza na kuuteka mji wa pili kwa ukubwa nchini Syria wa Aleppo.
Jeshi la anga la Syria (SAA) likisaidiwa na ndege za kivita za Urusi zilishambulia mji wa IDLIB ambao ulikuwa ngome kuu ya wapiganaji hao tangu mwaka 2015. Hata hivyo, Mashambulizi hayo yanaonesha kutowarudisha nyuma waasi hao.
Endapo mji wa HAMA utadhibitiwa na waasi hao,Basi watakuwa umbali wa Kilometa 78 kutoka mji wa tatu kwa ukubwa nchini Syria wa HOMS na umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa DAMASCUS.
Hata hivyo,Waziri wa Mambo ya nje wa Iran ameilaani Marekani na Israel kwa kushambulia msafara wa Wapiganaji kutoka Iraq waliokuwa wanakwenda kuisaidia jeshi la Syria kupigana vita vya Ardhini na waasi hao.
Uturuki imeitaarifu Urusi kuacha kutumia ndege zake kuwashambulia Raia lasivyo Uturuki itapeleka Mifumo ya Ulinzi wa Anga Kasikazini mwa Syria ili Kuziangusha ndege za Urusi na Syria ambazo zinafanya mashambulizi hayo.
Source: Aljazeera
: Dw English
Unafikiri hatujui hizo Albadiri mnazomsomea Netanyahu kutoka kwenye hizo madrasa za Ikwiriri?😛Nani aliye soma Albadri? Hivi we unadhani Albadri inasomwa hovyo hovyo.
Wacha aweke sio lazima wewe usomeSasa ufanye kitu kimoja!
Upunguze kuweka hizi link za kutoka mtandao X
Huwa unaweka link nyingi sana!