Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Air force ya Urusi iliyopo Syria dhaifu mno.Hao waasi wanashambuliwa hawafii tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Air force ya Urusi iliyopo Syria dhaifu mno.Hao waasi wanashambuliwa hawafii tu
Source:ARABwejamaaa unaongoza kwa uwongo kwenye UZI uwe na naibu kidogo.

Itakuwa mfano kwa magaidi wengine!Hata mi naona kinachotokea ndio yale yale ya Assad na urusi kutumia
Gas na kuanzisha kuvurumIsha mabom had mji uwe flat
Maana. Jeshi la Serikali Linaachia maeno Kirahs wanarudi nyuma bila
Kutoa upinzani ni kama wameambiwa ondoken tusafishe
Vita ni mipango ndugu yangu!Air force ya Urusi iliyopo Syria dhaifu mno.
Unaweza ukazikwa wewe halafu yeye akawa anadunda tu na Waasi wake wa Kisunni.Ndani 1week uyo utasikia anazikwa. Russai anawazoom kila kitu
BREAKING NEWS
Waasi wa HTS wamekaribia kuuteka mji wa tatu kwa ukubwa nchini Syria wa HOMS. Waasi wapo umbali wa Kilometa 5 kutokea katikati mwa mji huo.
Wapiganaji wa Kishia kutoka Iraq na Lebanon wakishirikiana na Wanajeshi wa Syria wamefanikiwa kwa kiasi kuwazuia waasi hao kuuteka mji wa HOMS. Hata hivyo, Mashambulizi ya Anga Makali ya Marekani na Israel dhidi ya Wapiganaji wa Kishia na ngome zao inadhoofisha uwezo wa jeshi la Syria na Washirika wao kupambana na Waasi.
Ndege 3 za Urusi aina ya Mig zimerushiwa Risasi za Onyo na Majeshi ya Uturuki. Urusi imelaani tukio hilo.
Waasi wa HTS wamefanikiwa kuiteka kambi ya jeshi la Syria ya Al-Fahdi iliyokuwa Kilometa 16 kutoka mji wa HOMS. Ndege 2 aina ya Mig zimetekwa na waasi hao zikiwa zimeharibiwa na kutokuweza kutumika.
View: https://youtu.be/BlKGcYu2Oec?si=hAc4JDOE5bCZm4OZ
Inasemekana Waasi wa Kisunni wamepewa Portable Anti Aircraft za hatari Marubani wa Kirussi hawataki kutekwa na kuchinjwa hadharani.Air force ya Urusi iliyopo Syria dhaifu mno.
Alhabib Imhotep unapigania jihad siku hizi!Unaweza ukazikwa wewe halafu yeye akawa anadunda tu na Waasi wake wa Kisunni.
Wewe si mzima!Inasemekana Waasi wa Kisunni wamepewa Portable Anti Aircraft za hatari Marubani wa Kirussi hawataki kutekwa na kuchinjwa hadharani.
Hakuna sunni pale!Jambo la Ajabu ni Wasunni wa Tanzania wanawayashabikia Mashia ya huko Ughaibuni.
Jana ufafanuzi ulitolewa humu kuwa Wahabi ni Sunni au imekuwaje tena?!Ni wahuni wenye itikadi za kiwahabi!
tena muongo sn uyu nwambaAlhabib Imhotep unapigania jihad siku hizi!
Mashaallah!
Kila habari ninayoileta humu nakuwekea na Source na Members wengi wanajua mimi sio Mzee wa kusambaza ushuzi.tena muongo sn uyu nwamba
Una ushamba mwingi sana mwanaume kamili hayuko hivyo.See....sheikh wangu ilimu ni muhimu. Zote Duniya na akhera. Ungepata hizo ungegundua hii si lugha mujarab kwa jamii iliyostaarabika. Huwa kamwe hatuongei hivi
Dubu mwenyewe hoi taabani mpaka anasaidiwa Askari kutoka Korea ya Kaskazini.Ngoja Dubu ajee. The Russian
Tupatie huo ushahidi!Jana ufafanuzi ulitolewa humu kuwa Wahabi ni Sunni au imekuwaje tena?!
Hilo daraja sio Mara ya kwanza kubomolewa.View attachment 3170591
Daraja kwenye mpaka wa Syria na Lebanon limeshambuliwa na Ndege za Israel ili kukata mawasiliano baina Ayatolah na Hezbola 🤣
It's now or never kwa Wanamgambo wa Kisunni wauzunguke Mji wa Homs wafanye Siege halafu wakaishambulie Damascus.
Wahhabism is a conservative branch of Sunni Islam that originated in the 18th century and is practiced mainly in Saudi Arabia and Qatar:Tupatie huo ushahidi!