Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Serikali ya Assad inazama kama Ile ya Afghanistan ilivyozama mwaka 2021.Tunaomba taathimin yako hapo Syria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya Assad inazama kama Ile ya Afghanistan ilivyozama mwaka 2021.Tunaomba taathimin yako hapo Syria
Hawaamini macho Yao Wana Uzi wao Kuwa Iran na Russia hawatamuacha Assad...Nimekuwa nikisema mara kwa mara kwenye hii Game Wazayuni lazima watashinda, na Magaidi lazima watashindwa sasa mambo yako wazi.
Kwako FaizaFoxy
Mpelekee moto tu huyu mnyeto faza kaelewa dundo mdondosheeOya mbona kama vile unawashwa na comment zangu au unahitaji kukunwa?
Takbiir!! kwa Wasunni.Tetesi:
BIG: Syrian opposition fighters reach Darayya, just 5km from central Damascus and 6.5km from Assad’s palace
Clash Report on X
Nahisi wamemsaliti AssadUnajua hawa wadau hawarushi hata risasi...
🤣 🤣 🤣 🤣
Acha kufumba macho... Nchi zote za Middle East zinaweza kuwa kama Syria muda wowote kwa sababu Ya Ukabila na udiniWAzungu walikosea mwanzo kumtoa Sadam walidhani Sadam ni m'baya zaid kwa Israel pamoja kweli alikuwa anatoa m'binyo kwa Israel lkn aikiwa kwakiwango cha kuamua kumtoa Sadam faida ya Sadam ilikuwa kubwa Sadam akuwa na maelewano na Iran maana ivi vita vya Syria vinatokana na ujinga w Bush kumtoa Sadam. USA alidhani ataidhibi nchi kuna kushtuka Iran ndio imeunda Idala ya Usalama ya Iraq apo sasa majuto mjuuu ndio wakaja na wazo la Kuangusha utawala w Syria ili kufunga njia kwenda Lebanon mana Zayuni 2024 ataisaau kalala kwenye mashimo kuliko siku zote. Watapata usingizi japo Assad atoke lkn Je itakuwa Salama au ndio ya Sadam yanajirudia upya. Fujo zote vifo alivokutanonavyo Israel ile nikazi ya Shia on Iran sasa Suni pengine wanaona Assad anawachelesha lkn ukweli upo wazi Suni wanafiki kupitiliza akuna kitu watafanya itakuwa kama Jordan Misri morocco Iran ndio akupenda Israel waishi kwa Aman. Apo mid Est anawapeleka mbio sana.
Babake Israel ndio level za Iran uyo Israel chawa tu hzb mkatoa kamasi alikua anaungulia kwenye tenkiMjadili wa nani Mbabe middle east Kati ya Israel na Iran Bado uko?
Allah kashakimbia kichapo mjomba stukaHizo ndoto za makafiri ambao ni wakristo na wayahudi zitafanikiwa kwa temporary tu sababu Allah anapima iman za waislam. Kule Gaza msahau wale wanaume imani ipo juu, we huoni hakuna silaha haikutumiwa pale lakini wanaume wapo kazini.
We furahi lakini hadithi ya Mtume Muhammad iko wazi tokea zamani, alisema Israel atapigana vita na Lebanon na atafika mpaa Syria, lakini bada ya hapo ndio wakumbuke hivi, Waisrael watajikusanya sehemu moja kùtegemea wana enjoy kumbe ndio mwisho wao
Mali ya jeshi hiyo mkuu mke wa nyapara Charlie OscarWewe hazikutosh, vipu silaha nzito zipitishwe madarajani. We unadhani silaha nzito haziwezi kupelekwa vipande vipande, hivi we kweli ulikuwa jeshini au ulikuwa mpishi kwenye mess za jeshini.