Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

WAzungu walikosea mwanzo kumtoa Sadam walidhani Sadam ni m'baya zaid kwa Israel pamoja kweli alikuwa anatoa m'binyo kwa Israel lkn aikiwa kwakiwango cha kuamua kumtoa Sadam faida ya Sadam ilikuwa kubwa Sadam akuwa na maelewano na Iran maana ivi vita vya Syria vinatokana na ujinga w Bush kumtoa Sadam. USA alidhani ataidhibi nchi kuna kushtuka Iran ndio imeunda Idala ya Usalama ya Iraq apo sasa majuto mjuuu ndio wakaja na wazo la Kuangusha utawala w Syria ili kufunga njia kwenda Lebanon mana Zayuni 2024 ataisaau kalala kwenye mashimo kuliko siku zote. Watapata usingizi japo Assad atoke lkn Je itakuwa Salama au ndio ya Sadam yanajirudia upya. Fujo zote vifo alivokutanonavyo Israel ile nikazi ya Shia on Iran sasa Suni pengine wanaona Assad anawachelesha lkn ukweli upo wazi Suni wanafiki kupitiliza akuna kitu watafanya itakuwa kama Jordan Misri morocco Iran ndio akupenda Israel waishi kwa Aman. Apo mid Est anawapeleka mbio sana.
 
Acha kufumba macho... Nchi zote za Middle East zinaweza kuwa kama Syria muda wowote kwa sababu Ya Ukabila na udini

Tatizo La Syria liko Iraq, Iran, Saudi, Qatar na UAE, Jordan, Yemen

Nchi zinapakana na Israel zinapokuwa bussy na mambo ya ndani au zinavokuwa ndogo Ndio Israel inavokuwa Strong... Israel inachotakiwa kufanya ni kuwapa Support ya Kisiasa na Kijeshi dhihi ya Iran, hasa Wadruze na Wakurdi
 
Hizo ndoto za makafiri ambao ni wakristo na wayahudi zitafanikiwa kwa temporary tu sababu Allah anapima iman za waislam. Kule Gaza msahau wale wanaume imani ipo juu, we huoni hakuna silaha haikutumiwa pale lakini wanaume wapo kazini.

We furahi lakini hadithi ya Mtume Muhammad iko wazi tokea zamani, alisema Israel atapigana vita na Lebanon na atafika mpaa Syria, lakini bada ya hapo ndio wakumbuke hivi, Waisrael watajikusanya sehemu moja kùtegemea wana enjoy kumbe ndio mwisho wao
Allah kashakimbia kichapo mjomba stuka
 
Wewe hazikutosh, vipu silaha nzito zipitishwe madarajani. We unadhani silaha nzito haziwezi kupelekwa vipande vipande, hivi we kweli ulikuwa jeshini au ulikuwa mpishi kwenye mess za jeshini.
Mali ya jeshi hiyo mkuu mke wa nyapara Charlie Oscar
 
Back
Top Bottom