Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Wakurdi wamekubali kufanya kazi na Serikali ya Waasi wa Kisunni HTS, kwahiyo kutakuwa na Serikali ya Mseto katika Serikali Mpya ya Syria baada ya Assad
🙂
 
🇷🇺🇮🇷🇹🇷 Russian Foreign Minister Sergey Lavrov holds a press conference following the 22nd Doha Forum:

The attacks of the terrorist organization "Hayat Tahrir al-Sham" were planned in advance and we are helping Syria confront them.

Political dialogue will be possible after stopping the attacks of the terrorist organization "Hayat Tahrir al-Sham"

Russia, Iran, Turkey agree to halt military operations, we will take steps on the ground

We oppose the attempt by Hay'at Tahrir al-Sham to change the balance on the ground and we will confront it and continue to support the Syrian government.

🚩 @ResistanceTrench
 
Wakurdi wamekubali kufanya kazi na Serikali ya Waasi wa Kisunni HTS kwahiyo kutakuwa na Serikali ya Mseto katika Serikali Mpya ya Syria baada ya Assad
Si Assad wala familia yake walioondoka Damascus bado wapo
 
🇮🇱❌🇸🇾 — Israeli surveillance operations over Syria begins

✈️Gulfstream G550 Nachshon Oron - Airborne Early Warning Aircraft
reg #537
hex
#738A4C
 

View: https://x.com/OALD24/status/1865399931453800787

Yaani Netanyahau alitoa Onyo kwa Assad na Waasi wakatumia hiyo Onyo Kuanzisha counter offensive... Inawezekana walipewa details muhimu sana...

Sijaona Ubora wa Jeshi la waasi zaidi ya ubovu wa Jeshi la Assad

Hezbollah why asirushe Makombora yake Maeneo ya Waasi, au Ndio kipigo kilikuwa kikubwa sana
 
Ila leo hii muda huu nnapoandika hii txt kuna breaking news grossi analalama kwamba Iran wamerutubisha urani kwa 60 ambayo inaweza unda nyuklia sasa mbona mnatuchanganya
Parchin ilikuwa ni sehemu ya siri. Waebrania wakaenda kuitwanga. Wanakoendelea ni huko kwingine.
 
Wakurdi wamekubali kufanya kazi na Serikali ya Waasi wa Kisunni HTS kwahiyo kutakuwa na Serikali ya Mseto katika Serikali Mpya ya Syria baada ya Assad
🙂
Huo ni uongo.
Hao waasi wa kisuni wanadhaminiwa na Uturuki na Uturuki na wakrudi haziivi.
Hata hizi sarakasi zote ni Uturuki kuwadhibiti wakrudi.
 
Back
Top Bottom