TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
The brother-man from Harlem has been the center of attention lately, especially on twitter. Bila huyu jamaa, pengine Jay-Z, The hottest Rapper that ever did it asingekuwa kabisa au angechelewa kufika alipo. Dame got Jigga-man started.
damn shame right?Dame Dash used to call himself a "bad cop" because he used to give Lyor Cohen, Kevin Riles and other executives at Def Jam hard time when dealing with him. All this so that Jay can prosper. And when things were great what Jay did in return? He dumped him like a hot potato! This is one of the reasons I don't like Jay.
damn shame right?
I heard from Jay's team how Hov had already given up due to nobody wanted to work with him, but it was Dame who crossed the bridge cos he saw the potential, and it all started from there.
Guess Dre was right when he said 'sometimes the business can turn friends against each other'.
Huyu jamaa inaelekea si mzuri katika kutambua michango ya watu. Nas pia aliwahi kum-diss kwamba, pamoja na kukopa lines kadhaa za Biggie, bado hakuonyesha shukrani.You're very right Mkuu!
Damon Dash the king of bling
Dah! Inawezekana. Sitashangaa ikiwa kweli hata hivyo, Dame is way too cool than the English boy.Ni kweli kuwa huyu jamaa alidate na Posh Spice au kwa lugha nyingine mke wa beckam. Kipindi beckham alipokuwa na mahusiano na bekitatu wake madrid Spain?
The brother-man from Harlem has been the center of attention lately, especially on twitter. Bila huyu jamaa, pengine Jay-Z, The hottest Rapper that ever did it asingekuwa kabisa au angechelewa kufika alipo. Dame got Jigga-man started.
Inawezekana yote uliyosema kuhusu Dame ni sawa. 1 thing tho, they were both fortunate to work with one another. Jay learned how to manoeuvre in the showbiz through Dame, halafu akajiongeza na kufika alipofika.Dame Dash is a business mind ila jamaa ni useless....
Uzuri wa jigga anaona mbali mno,Dash alizidisha ubrazameni,na infact kumpata Jay-Z alibahatisha tu,hakupata artist mwingine
Dash alizidisha kua cocky...angemsumbua Jay mbeleni,alitaka awe maarufu zaidi ya Jay,Dash hafai....
Na kama Dash ni genius kama anavyo claim angetusua no matter what,Jay kamzunguka mara kibao kwa networth,jamaa kachoka,anaishia kutoa vi video youtube kujisifia,useless
Dash sio mkali kama alivyotuaminisha,na kupenda sifa kwingi....infact Dash was fortunate to work with Jay,ashukuru mungu sana
Most definitely.Hottest rapper that ever did it!!!!!!!????
Seriously???!!!!!!
and 'god of the sneakers' he was, i heard.
What a brother indeed.Ha ha ha, I heard that too!
He used to clean the barbershops floor and sold newspapers in order to buy them sneakers and tshirts.
What a brother!
Inawezekana yote uliyosema kuhusu Dame ni sawa. 1 thing tho, they were both fortunate to work with one another. Jay learned how to manoeuvre in the showbiz through Dame, halafu akajiongeza na kufika alipofika.
Dame alijisahau ndio maana akashuka, ni kawaida kwenye biashara au chochote unachofanya.Haya baada ya kuachana na Jay,Dame alitoka 100% ka regress mpaka 20%!!!!
Dame anatakiwa aprove kua yeye ni above his partner Jay kama ange maintain au angeongezeka
Nilipata machale nilipoona Dame anauza sura zaidi hata ya Jay mwenyewe kwenye video zoote za Jigga,nikajua hapa Jay kapata kapi tu
What a brother indeed.
I don't know what happened to him, coz he kinda took his foot off the gas since he lost Jigga. And now everybody's mocking him