Dame Dash

Dame Dash

Camron - You Got Luv it 2005. (feat. Max B)

[Intro: Cam'Ron]
Ok First off, you a bitch nigga
Only reason I'm doin this
I'ma jus name 5 reasons real quick, got a hundred fifty
First - you stole Roc-A-Fella from Dame
Second - you stole Kanye from Dame
Third - you stole Roc-A-Wear from Dame
Forth - I seen the nigga throw that diamond up before them shots was fired
Fifth - hold on, turn the beat off
I had to turn the beat off for this
You talkin bout you a 80's baby
You 37 years old, you was born in 1968 and I open the daily news
How's the king of new york rocking sandals with jeans?
Open toe sandals with choncletas with jeans on
How's the king of New York rocking sandals with jeans and he 42 years old?
Back to business.

CAM'RON LYRICS - You Gotta Love It
 
Kati ya Nyash ama Collo, mmoja aliwahi kusema 'lazima nikutukane ndio ujulikane'. In this case, Jay alitakiwa kusema 'nitukane, nikujibu ili ujulikane'. So who's Cam again??
 
Tuendelea au Tusiendelee Niaje Brooo tunawachekiii we got thang thang for y'all ,Nyashiski ndio aliosema hivyo.....
 
Mkuu Jay-Z ain't no slouch either...Jigga ana rhyme sick...sio wa mchezo mchezo...

Huwezi niambia Jay kwenye all time 4 best emcees ever hayupo...na hii ni kwa whatever categories put together!

Sijakataa kuwa Jay-Z ni sick-Emcee, but suala ninalolipinga hapa ni kumlabel kuwa "the hottest nig/rapper to ever did it" thats means unamfanya awe ndo the most un-disputed rapper to ever did katika Hip-hop, which is not true, i respect jigga, na ninaujua uwezo wake, lakini JIGGA siyo best Emcee kuliko wote waliowahi kufanya Hip-Hop!!!!

1. Rakeem
2. Nas
3. Krs-One
4. 2pac
5. Jay z

Niggaz kama Kina BDK wanabak na heshima zao popote pale HIP-HOP inapotajwa!!!

But huwez kumweka JIGGA juu ya kina Rakeem, NAS na kina Krs-one, utakuwa unaitukana HIP-HOP kiujumla!!!

Namkubali sana 2PAC, lakin linapokuja suala la kina RAKEEM na ESCOBER huwa natoa ushabiki wangu kabisa, RAKEEM AND NAS ARE THE MOST DEADLIEST EMCEES TO EVER BLESS THE MIC KATIKA HIP-HOP..

I'd put JIGGA ahead of BIG (yes BIG), Cube, pharaohe monch, Common, Big L, Andre 300, BDK (yes BDK), Chuck D, Black thought, Masta Ace, Scarface, Yasiin bey, Talib kweli, Canibus, AZ, Kool G rap, GZA, Etc, but sitathubutu kumweka HOV juu ya NAS, RAKEEM, PAC na TEACHER!
 
haha no man, siwezi kufuta hiyo kauli kwa sababu hukubaliani nayo. Nimejaribu kuitetea umegoma, ni sawa.

Tuseme tu kila mtu abaki na mtazamo wake, kuna vitu mwenyewe umesema ambavyo sikubaliani navyo. Mfano, umemtaja Eric B katika list ya rappers/emcees. Kwangu Eric was never a rapper nor a emcee, but a Dj who recorded & performed with Rakim. Same way Dj Jazzy Jeff was with Fresh Prince.

So since hatukubaliani, sio issue sana. Mwisho wa siku wote tumejifunza kitu naamini. Peace!! my brother

Nmesema "eric B and Rakeem" hii ilikuwa ni Hip-Hop Duo, kuanzia 1987's to 1992, i mean kuanzia Paid in full mpaka dont sweat the technique, hapo huwez kumtaja Rakeem bila kumtaja Barrier kabisa, and still kama DJ, Barrier had his own solo album (ile ya 1995), na i know kuwa ni DJ, but utaiongelea Golden era au History ya HIP-HOP from 1980's mpaka sasa bila kumtaja Barrier???? Nig'??

Tulikuwa tunazungumzia "influence" hapo!!!
 
Wazee tukubaliane Dame kachoka sana....na hizo business deals anazofanya sasa za movie na ujinga mwingine hamna kitu anaingiza...

Hamna movie serious hata moja,u cant believe Cam'ron is more serious in movies and business zaidi ya Dame as we speak!

Dame happen to be linked with Jay Born Town himself,hamna cha ziada,jamaa mweupe tu,jamaa ujue alikua ni fraud,baada ya Jay kukata link ndio kafa kimoja!

Kumwita Damon Dash fraud is not fair. Ni kweli jamaa ni arrogant and corky lakini amechangia kiasi kikubwa kwa Jay kufika hapo alipo, you can't take that from him. Kama Jay alikuwa ana ujanja wa kupata record deal asingemhitaji Dame. Ni Dame ndiye aliyahaha kutafuta deal lakini lebo zikawa zinakataa kumsainisha Jay, Dame akamwambia "…F**k these Niggaz, we can be our own Bosses…" ndipo wakaanza hustle za kuanzisha Roc-a-Fella.

Baada ya "Reasonable Doubt" ku-hit ndipo lebo zikaanza kujipendekeza. CEO wa Def Jam, Lyor Cohen akataka kumpa Dame $1,000,000 ili amwache Jay asaini Def jam, Dame akamwambia "…Go f**k yourself, if you want Jay it has to be a co-venture…" Def jam wakawa hawana ujanja bali kuwapa jamaa distribution deal ambayo ndio ilikuwa deal ya kwanza tamu kwa major label kuwapa independent label kabla ya Cash Money na Universal.

Tatizo la Dame ukiacha arrogance na corkiness ni kwamba anapenda kushindana na wakubwa. Yeye mwenyewe husema "... I have David and Goliath complex, I always feel I can go against big boys and knock them down…" sasa kwenye entertainment industry hilo ni tatizo. Baada ya wakubwa kugundua kuwa jamaa ni msumbufu walichofanya ni kumzunguka na kuanza ku-deal straight na Jay. Ndipo Jay alipoona kuwa anaweza kusonga peke yake bila Dame. Dame akienda ku-negotiate deal wanamwambia kuwa Jay anataka yeye ndio aingie deal na sio kampuni.

Reebok wakampa Jay sneaker deal (shawn carter) bila Dame kushirikishwa, akafanya kampeni ya kampuni ya Vodka ya Belvedere wakati yeye, Dame na Kareem Burke walikuwa na kampuni nyingine ya vodka ya Almadale. Kina Dame na Burke walipombana akaamua kuwauzia share zake za Almadale.

Baada ya mambo kuharibika ndipo Def Jam wakainunua Roc-a-Fella na kumpa Jay U-president, Dame akajikuta yuko nje. Jay akataka masters za Reasonable Doubt, Dame akagoma ndipo Jay akaamua kumtoa Dame nje kabisa ya tent. Akaamua kuwa waiuze Rocawear kwa sababu ndiyo bishara pekee ambyo walikuwa bado wanaimiliki pamoja baada ya hapo kila mtu akashika hamsini zake.

Hakuna mtu ambaye alikuwa tayari ku-deal na Dame kutokana na reputation yake na ndio maana jamaa kakwama lakini lazima apewe credit zake.
 
Kumwita Damon Dash fraud is not fair. Ni kweli jamaa ni arrogant and corky lakini amechangia kiasi kikubwa kwa Jay kufika hapo alipo, you can’t take that from him. Kama Jay alikuwa ana ujanja wa kupata record deal asingemhitaji Dame. Ni Dame ndiye aliyahaha kutafuta deal lakini lebo zikawa zinakataa kumsainisha Jay, Dame akamwambia “…F**k these Niggaz, we can be our own Bosses…” ndipo wakaanza hustle za kuanzisha Roc-a-Fella.

Baada ya “Reasonable Doubt” ku-hit ndipo lebo zikaanza kujipendekeza. CEO wa Def Jam, Lyor Cohen akataka kumpa Dame $1,000,000 ili amwache Jay asaini Def jam, Dame akamwambia “…Go f**k yourself, if you want Jay it has to be a co-venture…” Def jam wakawa hawana ujanja bali kuwapa jamaa distribution deal ambayo ndio ilikuwa deal ya kwanza tamu kwa major label kuwapa independent label kabla ya Cash Money na Universal.

Tatizo la Dame ukiacha arrogance na corkiness ni kwamba anapenda kushindana na wakubwa. Yeye mwenyewe husema “... I have David and Goliath complex, I always feel I can go against big boys and knock them down…” sasa kwenye entertainment industry hilo ni tatizo. Baada ya wakubwa kugundua kuwa jamaa ni msumbufu walichofanya ni kumzunguka na kuanza ku-deal straight na Jay. Ndipo Jay alipoona kuwa anaweza kusonga peke yake bila Dame. Dame akienda ku-negotiate deal wanamwambia kuwa Jay anataka yeye ndio aingie deal na sio kampuni.

Umefunguka sana mzee, sikuwa naifahamu hii mambo kiundani hivyo, so heshima kwako bro.

I guess it's safe to say umemaliza kabisa.
 
Wewe kiumbe uko deep sana!
 
ONYX, MOB DEEP, wako wapi ?
Jamaa wapo. Nadhani wote wametoa albums last year, na wanakula shows kama kawa.

Mobb Deep walikuwa na ka-mgogoro flani hivi ila walimaliza kiume na wako poa saivi.
 
"Dissing Dame, Dame don't rap,Shame on black, the game's so whack.Dame sonned you children from in front of your building right to a hundred million,Dame held Def Jam down,Pardon my back, jacking and the left hand pounds" -- Camron
 
Last edited by a moderator:
kathread ka manigga,endeleeni kutupa info mnatisha wanyamwezi wazee wa kata K
 
Sijakataa kuwa Jay-Z ni sick-Emcee, but suala ninalolipinga hapa ni kumlabel kuwa "the hottest nig/rapper to ever did it" thats means unamfanya awe ndo the most un-disputed rapper to ever did katika Hip-hop, which is not true, i respect jigga, na ninaujua uwezo wake, lakini JIGGA siyo best Emcee kuliko wote waliowahi kufanya Hip-Hop!!!!

1. Rakeem
2. Nas
3. Krs-One
4. 2pac
5. Jay z

Niggaz kama Kina BDK wanabak na heshima zao popote pale HIP-HOP inapotajwa!!!

But huwez kumweka JIGGA juu ya kina Rakeem, NAS na kina Krs-one, utakuwa unaitukana HIP-HOP kiujumla!!!

Namkubali sana 2PAC, lakin linapokuja suala la kina RAKEEM na ESCOBER huwa natoa ushabiki wangu kabisa, RAKEEM AND NAS ARE THE MOST DEADLIEST EMCEES TO EVER BLESS THE MIC KATIKA HIP-HOP..

I'd put JIGGA ahead of BIG (yes BIG), Cube, pharaohe monch, Common, Big L, Andre 300, BDK (yes BDK), Chuck D, Black thought, Masta Ace, Scarface, Yasiin bey, Talib kweli, Canibus, AZ, Kool G rap, GZA, Etc, but sitathubutu kumweka HOV juu ya NAS, RAKEEM, PAC na TEACHER!
Mawazo yako tu, na upeo wako tu. Rakim, Jay z na Nas wenyewe wanakiri big ndo king of NY. Na hilo halina ubishi. Hata kipindi cha beef ya Nas na Jay-Z walikuwa wanasema waziwazi kwenye nyimbo zao
 
Wakuu mimi naomba niongelee bifu alilonalo JAYZ juu ya DAME Dash uliyotokana na uanachama wao wa Illuminat.Dame Dash jamaa anajiona sana pamoja na kwamba alimuuzia Jayz Rocawear for $30million na baadaye Jayz akaja kuuza Rocawear for $204 million,Jay made a lot of $. Tumuongelee Aaliyah:inavyosemekana Jay was in love with Aaliyah na alimpenda kiukweli Ila badaye Dash akaja kumnyanganya Aaliyah,so mapenzi yakawakoleza Jay roho ikamuuma sana.Jay knew dash hakumpenda Aaliyah he only wanted to sacrifice her for fame and money.Huyu Dash alikuwa na mwanamke mwingine anaitwa Rachel,Rachel knew abt Dash sleeping with Aaliya also she knew Aaliyah was going to be sacrificed na mwisho wa siku angebaki na Dash wake.Jay kaweka kisasi hadi Leo na anahangaika kutaka kumtoa kafara mke wa Dash yani Rachel ili amlipizie kisasi Kama Dash alivyomtoa Aaliyah.Siyo tu kumtoa Rachel pia anataka kulala na Rachel na huenda alishalala naye.Inasemekana pia hata kama Jay hasingenyang'anywa Aaliya huenda angemtoa kafara because both Dash and Jay are Illuminat na wakati huo wote wawili walitakiwa kutoa sacrifice.Baada ya Dash kumtoa Aaliyah ndiyo mambo yakamwendea vizuri including owning Rocawear(Becoming CEO) ingawa baadaye alikuja kumuuzia Jay.Angalieni hizi you tube links:

http://youtu.be/OnJ8Pl6ZReA

http://youtu.be/5H86lVVwaOM
 
Back
Top Bottom