Dame Dash


"Nigga said,I made HOV,I said okay,make another HOV!!!!"--JayZ.....nuff said wazee!!
 
Wazee tukubaliane Dame kachoka sana....na hizo business deals anazofanya sasa za movie na ujinga mwingine hamna kitu anaingiza...

Hamna movie serious hata moja,u cant believe Cam'ron is more serious in movies and business zaidi ya Dame as we speak!

Dame happen to be linked with Jay Born Town himself,hamna cha ziada,jamaa mweupe tu,jamaa ujue alikua ni fraud,baada ya Jay kukata link ndio kafa kimoja!
 
Mi sijakataa kwamba Dame kachoka, it's true he's the lost one. And he ain't the 1st one. Maintaining is no easy job.

John Singleton started with the classic 'boyz N the hood', did he maintain to that standard? No.

Death Row was the shit, Dre alivyosepa, Pac alivyokufa wakashindwa ku-maintain to their standards.

Kina Irv Gotti, Master P, Teddy, JD wote walishindwa ku-maintain. Ila haimaanishi walibahatisha
. Ni funzo tu kwenye maisha kwamba ukijisahau kidogo tu unadondoka, haijalishi ulikuwa juu kiasi gani.
 

Straight up.
 
Nipo serious sana brother. Simkubali jamaa kivile, ila facts zipo kum-support.

We unadhani kwanini Jigga-man sio, na nani ndio labda??

Ukisema hottest rapper to ever made it ni LAZIMA awe amepita sehemu hizi:

1. Awe ndiyo the best selling rapper (Albums) to ever did it (all time)
2. Most influential rapper to ever did it
3. Awe NDIYO best rapper/emcee to ever did it (you just cant be the hottest nig' to ever did it in this rap world kama siyo the best of all)

Jigga ni one of the HOTTEST RAPPER, but labeling him as the hottest nig' to ever did it in this rap/hip-hop shit NI wrong!

Networth yake hai define kama ndo the hottest nig ambaye ashawahi kufanya rap, coz networth inakuja na vitu vingi sana, siyo tu MUSIC... But ukistick kwenye rap/hip-hop Jigga huwez kumlabel hivyo, but ukistick kwenye bizNe$$ jigga and Didy unaweza ukawalabel kama Rappers waliofanikiwa zaid kupitia music(roots, hardworking and bringin' BizNe$$ into Rap/hiphop) but kwenye rap/hiphop kuna WATU mzee!!!!!!


"Hottest" ina maana kubwa sana!!
 

Master P STILL KICKING IT blood (kwa upande mwingine) mtafute, msome!!!
 
I see your points bro, and you make a lotta sense. Jay may not tick all the boxes, and so does nobody. Ila tukubali au tukatae, N!99a is closer to being the complete package more than anyone else.

Ana number nzuri tu kimauzo ya copies zake, na most importantly, he's consistent.

Influential? Alibadili sura na hadhi ya rap kwa ujumla alivyochukua u-rais wa Def Jam. Kina Riri, J Cole, Wale, wote wamekuwa influenced kwa namna moja au nyingine na mshkaji. Beyonce can get away with a lot, including making a song about spinning blah blah blah, coz she's married to the hottest N!99a in the rap game.

Chochote anachogusa mchizi, kinapata mafanikio. He's sold out arenas like no other rapper. He's about most of his words pia. He showed what he's got, alivyomchukua the beautiful Danica Patrick na yule jamaa mwingine ili kufanya video tu.

Hadhi yake pia hakuna rapper amewahi kuifikia. Barack hakuogopa kukiri ye ni shabiki number moja wa mchizi. Huyu jamaa hatafuti attention, attention inamfuata. Hata the likes of Elliott Wilson wana-struggle kupata interview na mshkaji, that says a lot.

He's the winner. He lost his battle against Nas, but won the war. Net-worth pia lazima uitaje, mtu km Diddy ametoka familia inayojiweza + ana elimu nzuri. Jay ameanza sifuri, hakuna aliyetaka kum-sign, hakuna aliyetaka kusambaza kazi zake, but look at him now.

Issue ya kuwa rapper or emcee, nadhani kwa sasa ntaiacha coz ni pana kidogo. I'm currently writing about that, once it's ready, i'll share and we'll discuss some more on that. So kwa sasa, i prefer kumchukulia Jay kama Rapper, na rap only as a part of Hip-Hop, but not every rap.

Now who can top that?
 
Master P STILL KICKING IT blood (kwa upande mwingine) mtafute, msome!!!
The point i tried to make there ni kwamba, sio yule Master P aliyeanza, kifupi ameyumba. + kuna taarifa kwamba jamaa ali-file for bankruptcy or something kipindi flani.
 

Problem is. Unaongelea about MUSIC sambamba na BIZNE$$, nlikuomba utenganishe kati ya rap/hiphop na Biashara nje ya music/baada ya jina katika music..

Me nataka tustick katika rap/hiphop music tu, na tuangalie katika categories hizi..

1. Best selling
2. Influence
3. Best to ever bless the mic
4. Lyrics
5. Best rap albums

Na kwa kuangalia vigezo hivi, tunataka kujua who's the hottest rapper to ever did it KATIKA RAP WORLD...

Tambua kwamba BIASHARA inakuja baada ya MUSIC, hapa tunazungumzia rappers/emcees waliopata recognation kubwa katika MUSIC NA SIYO KATIKA BIASHARA KATIKA MUSIC (unaelewa ninachomaanisha)...jigga amefanikiwa katika biashara ya music/ndani/katikati/baada ya music. Na pia anasimama kama Rapper mwenye mafanikio katika hiphop (huwezi kumtoa huko) but kusema ndo the hottest nigga to ever did it, unakuwa unakosea!

Unapozungumzia kuhusu, best selling rappers of all time, katika front role huwez kumwacha EMINEM/2PAC/ and BIG, hapa namwekea mkazo zaid EMINEM japokuwa records zake zinaenda sambamba at some point na za PAC, but ukidig deeper utagundua kuwa EMINEM has managed to beat PAC katika best selling rapper duniani!!!!

Signing niggaz katika label yako and kuwa chini yako doesn't make you influential kabisa, coz ukiongelea influence uliyoingolea wewe hapo juu, utagundua hata kwa kina J.Cole upo wrong coz dogo kama Cole alikuwa influenced na kina CANIBUS kufanya hii rap na siyo JIGGA, na tunapozungumzia kuhusu influential rappers/emcee katika ulimwengu wa rap, Huwa tunatrace back katika golden era ya hiphop 1980's-1990's, kuanzia kwa kina Kool herc, Jay master jay, Run Dmc, public enemy, NWA, Big Daddy Kane, eric B and Rakeem etc, JIGGA huwez kumtoa katika LIST ya influential rappers katika rap, but huwez kumweka juu ya kina PAC (his legacy still LIVES), BIG, CUBE, KRS-ONE, NAS ESCOBER na most of all kina RAKEEM, tunapozungumzia kuhusu influence tunazungumzia umefanyia nini RAP?? Umeitoa wapi na kuipeleka wapi?? Umeibadilisha jamii kutoka upande huu kwenda upande mwingine kwa njia zipi?? Lyrics zako zimeacha kitu gani katika jamii, legacy yako ina ukubwa gan katika jamii ya Hip-hop na Ulimwengu kwa ujumla, Unasema Jigga changed the face of hiphop alipotake over Def jam, how??? He developed hiphop or murdered hiphop???, def jam imeifanyia nini Hip-Hop?? Where is DMX?? Who destroyed and killed his career??? Influencing new rappers to spit bars wakiwa booth na syo kuandika?? Unazalisha nini katika hiphop?? Alisema yeye haandiki verses katika karatasi, sasa mimi nitaamini vipi kama RD hakukaa chini na kuandika??? Jigga wa sahiv kama kuifluence (kwa mtazamo wako) atakuwa anaifluence fake rappers tu ambao kila kukicha wanaibuka, jigga ana mchango wake katika Kuiweka rap katika map, pia ana mchango wake katika kuiondoa real rap katika map ya dunia, ndo maana ninapokwambia kuhusu influence, Siyo lazima uwe unauza saaana copies, coz ingekuwa hivyo niggaz kama Rakeem wasimgekuwa wanatop katika List the best emcees of all the time, kina escober wasingekuwa wanatop katika list ya best lyricst of all the time au Illimatic kuwa best hiphop album kuwahi kutokea duniani, Coz hawana mauzo zaid ya JIGGA AU EM AU PAC...we're talking about rap music here...

JIGGA...

Katika Best selling rappers katika rap yupo nyuma ya Em na Pac!

Katika best rapper to ever bless the mic yupo nyuma ya Rakeem, Krs-one, BDK, Nas, Big and Pac..

Katika influence rappers yupo nyuma ya kina Pac, Big, Cube, Rakeem, Nas, Krs-one etc

Katika Lyrics, kaachwa mbali sana na NAS, saaaaana!

Kwenye billboard charts, unajua ni Eminem

BizNe$$ wise yupo nyuma ya Dre na Diddy..

So utamwitaje ni "hottest rapper to ever did it"???...


Jigga never won chochote dhidi ya NAS, nas killed his career when he decide to go full on Mainstream (mifano hai unayo kwa The Game)...na haitakuja kutokea Jigga kuifikia Mapinduzi aliyoyafanya Nas kwenye hii game!

Hip-Hop ina roots man, walikuwepo watu waliofanya kila kitu kuiweka hii rap kwenye ramani ya ulimwengu, kuna niggaz ambao wanaforce kubwa katika Hip-hop, but now hip-hop imegeuzwa kuwa biashara, niggaz are just doing it for money, bubble gum rap zinazid kupanda, thats y real niggaz wanaamua kwenda underground, Jigga hakufanya chochote Def jam zaid ya kujitengenezea misingi ya biashara, nigga turned his back to dash, killed DMX career, (katika industry ya rap, huwez kutaja influential rappers bila kumataja DMX, but yu kwap mchiz?) niggaz from south and East killed Hip-Hop, now niggaz wanataka kusikia wack lyrics from weezy, drake, wale, big sean, waka flocka, Gucci, Soulja boy, Migos, Young thug, Etc,

Unadhani K.dot angekuwaa chini ya Jigga hii album yake mpya Angeruhusu itoke????
 
The point i tried to make there ni kwamba, sio yule Master P aliyeanza, kifupi ameyumba. + kuna taarifa kwamba jamaa ali-file for bankruptcy or something kipindi flani.

MASTER P, ana networth ya $350mill, but Zack O'Malley wa Forbes aliulizwa kutokuwepo kwa Master P katika list ya richest rapper akadai kuwa sources zake kamili za mapato hazijawa kwenye records na most of them ni unknown, thats why Forbes hawamweki, but kwenye sites zingne zote utamkuta....

Birdman na 50 wapo nyuma ya Master P!!!
 
Nadhani nimeshajibu krb kila kitu ulicho-raise hapa bro. But lemme clear some few

I will never ever discuss Pac with any other Rapper/Emcee. He's the Prophet through Hip-Hop.

In Hip-Hop there's only greatness, Hotness is in rap. Hip-Hop never changed, rap decided to part.
 

So futa kauli ya "hottest rapper to ever did it"...

Jay-Z ni recogined EMCEE pia!
 
So futa kauli ya "hottest rapper to ever did it"...

Jay-Z ni recogined EMCEE pia!

Mkuu Jay-Z ain't no slouch either...Jigga ana rhyme sick...sio wa mchezo mchezo...

Huwezi niambia Jay kwenye all time 4 best emcees ever hayupo...na hii ni kwa whatever categories put together!
 
So futa kauli ya "hottest rapper to ever did it"...

Jay-Z ni recogined EMCEE pia!
haha no man, siwezi kufuta hiyo kauli kwa sababu hukubaliani nayo. Nimejaribu kuitetea umegoma, ni sawa.

Tuseme tu kila mtu abaki na mtazamo wake, kuna vitu mwenyewe umesema ambavyo sikubaliani navyo. Mfano, umemtaja Eric B katika list ya rappers/emcees. Kwangu Eric was never a rapper nor a emcee, but a Dj who recorded & performed with Rakim. Same way Dj Jazzy Jeff was with Fresh Prince.

So since hatukubaliani, sio issue sana. Mwisho wa siku wote tumejifunza kitu naamini. Peace!! my brother
 

Im witchu in this one...and u are spot on on Erick B and Dj Jazzy Jeff and the likes

Back to the man himself,Jigga....musically,flow ni sick,consistency,content ni kali sana,best persona,etc...

In someone's right mind tukiacha unazi pembeni,mshikaji sio wa mchezo kabisa...infact ni lazima tumpe props,tukienda kwenye art kama art,aisee hua unazi naweka pembeni kiroho safi
 
exactly brother. Sielewi ugumu uko wapi wa mshkaji kuona yote hayo. Mbaya zaidi anamkataa Jigga, ila kashindwa kumtaja anaedhani yeye kuwa ni mkali kwa vigezo vyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…