Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Utakuwa ndio umehitimu elimu yako ya secondary ee
umeona eehhh mana dah
wanafananisha muongo na karnee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa ndio umehitimu elimu yako ya secondary ee
umeona eehhh mana dah
wanafananisha muongo na karnee
Mimi mpaka wa leo sichoki kusikiliza "mimi na mabinti".....ni utunzi nambari moja kwenye orodha yangu ya hiphop za bongo.
Kuhusu mada....Stamina vs FA....nadhani hapo mnamshushia hadhi FA.
Me wananikera kweli..hivi ukisikiliza wimbo wa alikufa kwa ngoma huo tu cjui km utadhubutu kurudi hapa na kumlinganisha na stamina mfyuuu...hapo bado cjataja bado nipo nipo daa acheni aisee nisaidie kuwaambia hawa wahitimu wasimlinganishe kk mkubwa na stamina ..FA ni wakulingamishwa na Fid,au afande
asiejua maana haambiwi maanageniveros Unamahaba binafsi na Mwana FA
"Bongo Jua la utosi hadi juma anakosa nature"
Huu mstari unamaanisha Bongo maisha magumu kiasi kwamba watu wenye uwezo mkubwa wanakosa maarifa ya kupambana na ugumu wa maisha. sasa kama unataka ujumbe huu tu uupate kwamwana FA utasikiliza Vers Nzima. Utundu wa kutumia majina ya watu ni Ufundi wa kisanaa tu usiogope ni aina fulani ya ubunifu sawa Bro Deo Corleone
Stamina ni Mwisho wa matatizo ni msanii kushinda Mbunifu na mwenye uwezo mara milion ya FA
yani falsafani ni namba nyingine kabisa we angalia bado niponipo kwa mtu asieelewa maana anaeza usikilisa ule wimbo kijuujuu ila kuna maujumbe mazito sana
Duh! basi bwana,ila sikulaumu kwani mtaalamu wangu Fid Q alishasema ''kuna makeups, pia kuna mkorogo,Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye jamii,
lakini mimi hoja yangu kubwa ni ukali wa mistari ya Stamina nikajaribu kuwapa mifano kibao, Mwisho nikagundua kuwa ili uelewe mistari inayoshushwa na Stamina inahitaji angalau Degree 2.
Hebu nipeni mawazo yenu nani Mkali hapa kwenye uandishi wa mistari
cc: Mphamvu MR. CONFIDENT
'' Ulikuja kwa Wema kumbe moyoni Sepetu'' ''Mlevi unayekunywa Gongo ukifa utazikwa La Mboto''- Stamina
Me hapa natetemeka kwa hasira aisee...FA wamemkosea adabu huwezi kuwa serious kumlinganisha na huyo dogo...level zake ni Fid q