Damn! Unaanzaje kumfananisha STAMINA na FA, Mnanioffend Brothers

Mimi mpaka wa leo sichoki kusikiliza "mimi na mabinti".....ni utunzi nambari moja kwenye orodha yangu ya hiphop za bongo.

Kuhusu mada....Stamina vs FA....nadhani hapo mnamshushia hadhi FA.
 
umeona eehhh mana dah
wanafananisha muongo na karnee

Me wananikera kweli..hivi ukisikiliza wimbo wa alikufa kwa ngoma huo tu cjui km utadhubutu kurudi hapa na kumlinganisha na stamina mfyuuu...hapo bado cjataja bado nipo nipo daa acheni aisee nisaidie kuwaambia hawa wahitimu wasimlinganishe kk mkubwa na stamina ..FA ni wakulingamishwa na Fid,au afande
 
Mimi mpaka wa leo sichoki kusikiliza "mimi na mabinti".....ni utunzi nambari moja kwenye orodha yangu ya hiphop za bongo.

Kuhusu mada....Stamina vs FA....nadhani hapo mnamshushia hadhi FA.

Nadhani umegusa nilpotaka..FA anaandika bana wamemshushia hadhi kweli
 
geniveros Unamahaba binafsi na Mwana FA

"Bongo Jua la utosi hadi juma anakosa nature"

Huu mstari unamaanisha Bongo maisha magumu kiasi kwamba watu wenye uwezo mkubwa wanakosa maarifa ya kupambana na ugumu wa maisha. sasa kama unataka ujumbe huu tu uupate kwamwana FA utasikiliza Vers Nzima. Utundu wa kutumia majina ya watu ni Ufundi wa kisanaa tu usiogope ni aina fulani ya ubunifu sawa Bro Deo Corleone

Stamina ni Mwisho wa matatizo ni msanii kushinda Mbunifu na mwenye uwezo mara milion ya FA
 
Last edited by a moderator:

yani falsafani ni namba nyingine kabisa we angalia bado niponipo kwa mtu asieelewa maana anaeza usikilisa ule wimbo kijuujuu ila kuna maujumbe mazito sana
 
asiejua maana haambiwi maana
 
Last edited by a moderator:
yani falsafani ni namba nyingine kabisa we angalia bado niponipo kwa mtu asieelewa maana anaeza usikilisa ule wimbo kijuujuu ila kuna maujumbe mazito sana

Ndio hao wenye degree 2 bado wanataka nyingine ndio wamuelewe lol
 
Tatizo kila mtu ana msanii wake na wengi hamsikilizi mtu na kumuelewa mnasubiria nyimbo redioni ipigwe airtime ya nyimbo ndo hangover yenu mnatolea lock kwenye mitandao km hivi,huwezi kumfananisha stamina na mwana fa,wapo tofauti kiuandishi na theme ktk nyimbo zao ni tofauti,by my side Fa anaandika sana idea kuliko stamina anayecheza na misemo ya mtaani hata anavyosema roll model wake ni Fid nazidi kujiuliza kati ya stamina na Young Killer yupi aachiwe kiti na Fid akikalie ila kadri tunavyoenda stamina taratibu anapoteza ladha,ila mwisho wa siku angalia hata kuendelea kudumu ktk gemu kwa Fa ni sababu tosha kuwa anajua anafanya nini,stamina arudi ktk misingi,aache kurap katuni,wengine wajipange no 1 ni FID Q,2.JAY MOE,MWANA FA,waliokatika soko hata kwenye media,ila kuna watu km ONE THE INCREDIBLE,NIKKI MBISHI,ni watunzi wazuri pia ht freestyles wanaweza,ila 2siendeshwe na media zilizomfanya nikki akate tamaa,japo ametuachia huyu wa pili.
 
Mungu hakupi kama hataki,hata ukipora itapotea mradi yatimie maandiko....
dont hate the prayer,hate the game dont bi mad...
kuna vingi vya kumuomba mungu kabla hujamuomba utajir.....
Hakuitwa mwanafalsafa kwa kubahatisha,na kama nakosea niko tayar kukosolewa,biNAMU ndo msanii pekee anayetamka kiswahil fasaha ktk ukiacha mjomba
 
Duh! basi bwana,ila sikulaumu kwani mtaalamu wangu Fid Q alishasema ''kuna makeups, pia kuna mkorogo,
kuna haters, na wale walojisikia tu kuleta shobo''
 
Last edited by a moderator:
Nilimuelewa sana Stamina hasa katika truck yake ya"kabwela". Kadri siku zilivyosonga nikaelewa hana mawanda mapana sana ya mawazo katika uandishi wake. Atakubalika kama wale ambao wanapenda hip hop but nyepesi isiyohitaji fikra nzito. Mistar yake lain tena yenye kujirudia rudia. Ni makosa makubwa sana kumlinganisha na King Binamu. Stamina ana stail yake aachwe afanye anachokiweza
 
stamina:
maisha yashakunywa super shaft yananizidi nguvu za kiume
natamani kula baga ila naishia viazi vya gairo
maisha ni kama komborela masikini ndo mlinda kopo
mi nadhani haya maisha yana ramani ila alowachorea masikini peni ilimgomea njiani

mwanafa
ingekuwa vipi duniani kusingekuwa na dini...dunia bila dhambi kipimo cha uovu nin...ingekuwa vipi kasi ya ukimwi kusingekuwa na kondom..yan ingekuwaje bila ukimwi tungetinga condom??au ingekuwa kuna ukimwi halafu hakuna condom unadhani mi ningesema mi na mabinti damdam??
kuna mabinti wapo kamili kila idara..familia bora..akili zisio lala..maumbo bomba na sura..wao ni ajira na hawahitaji zaidi ya sera...
sasa wanauliza steve b ni dj au mc...mi sijiviki uwakili na nakaa nje ya hii nategea scratch za bonny..zikitia hewan mi mzigoni...utajuta kuwa vitani au utakoma kwa shindani clap clap..

jamani wenye akili pimeni
 
hizi sasa ni dharau kwa hawa vijana wa juzi, yaan unamlinganishe stamina na FA!!!
Stamina naye anaandika mistari?
B.I.N.A.M.U = Bila Imani Na Akili Mjini Umefeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…