Damn! Unaanzaje kumfananisha STAMINA na FA, Mnanioffend Brothers

Mleta mada amemaliza form four mwaka jana alikuwa anasoma shule ya boarding toka yupo chekechea ndio amepata nafasi ya kusikiliza nyimbo, so tumsamehe bure!
 

Hebu hesabu Punch humu ndani ya wimbo mmoja then urudi kulala;


MWANAFALSAFA

(Verse 1)
ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi
maskini jeuri ni msemo tu
Usiuweke kwenye akili
Mwanaume kuwa tajiri ni kama demu kuwa
mzuri
Demu wako akiwa kwenye kioo we piga simu
utafute deal
Hela hazilali so ukilala wewe tu
Na zina kasi ya kutengenezwa hazikungoji
uamke mkuu
Me na make money mchana na make money
usiku
Iwe kwa tai au kwa jeans me naingiza mkwanja
tu
Naingiza mkwanja na jua na naingiza totoro
Mwenzangu sio unazbagua me sina nazo
mgogoro
Begi mgongoni na ramani kama mzungu
kabla hujafika ulipo nshafaham my next move
Pesa ni rock me ni roho
Wana wa long time ago
Uwezi kutuachanisha
Waliodei wote wanafall
Mikuki imepotea farasi wanarudi wenyewe....
Wale waliopanda wakati wa kwenda wanaomba
wafufuliwe
(Chorus)
(Usinipigie makofi utachoka mikono itauma
cause utamic nyingine
unanijua unaniskia)*2
Punch line zinafuatana
unanijua unaniskia
punch line zinaongozana unanjiua unaniskia
punch line zimegandana
unanijua unaniskia
So usinipigie makofi mikono utachoka
(verse:2)
Inakera kujua majibu na watu hawayulizi kutu
We unajua sie hatujui ila kaa navyo vyote kutu
Maisha kama ubao ila ayaandikwi kwa chalk
Siwezi kukupa vyote ujue na kwangu zimebaki
Mimi ile mitego ya mission na mission kabla ya
kudanja
Ya kwanza kuwa na mkwanja na ya pili kuwa
na mkwanja
Namweka mungu kwanza dunia inashindwa
nivunja
Nusu haramu nusu halali
Upande shehe na upande ninja
Kila bosi na bosi wake
Kama mnyonge na mnyonge wake
Mola alikupa punje na punje akawapa wengine
hakutaka unyanyaswe wala
unyanyase watu wake..
Alichokupa me hakunipani vyetu tutumie wote
Ukipata nusu ina maana umekosa nusu
Na tuseme ya mpoki au masanja we
hayakuhusu
Ni siku ya kwanza ya maisha yangu yaliyobaki
Hivi navyotaka iende
Huu wimbo ni man respect
repeat(chorus)
Unanijua unaniskia *2
(verse:3)
Sina mjadala na ujinga sina nafasi ya kuuweka
Umri unasonga sina muda
Mvi znasogea zitafika
Sipunguziki mimi kama bei za supermarket
Tuna uzito tofauti kama wa shuka na blanketi
Naisafisha sabuni ndo inisafishe maungoni
So usininyooshee kidole
We ni mchafu zaidi ya mimi
Wenzako hawaombi wanashukuru
Wanapenda walichopata
Omba samaki upewe nyoka
Omba upewe usichotaka
repeat(Chorus)
 
amelala na bibi harusi na wala
si bwana harusi siku moja kabla ya harusi na bado mnanishauri harusiii...?!!
bado nipo nipo sanaaaaaa
fa MKALI jamani
 

Kwa hiyo wewe una degree tatu na macho manne basi wewe sio binaadamu wa kawaida sisi wenye macho mawili na elimu ya kawaida tunamkubali mwana FA
 
FA ni mwingi wa majigambo,stamina anacheza na maneno......tungo zenye akili mtafute songa,one, Jay mo,Salu T wale ndo waandishi, FA wa kawaida sana,anatumia ukongwe

Kumbe unajua mwana FA kuwa in mkongwe lakini bado unaleta ubishi?
 

tuliza ball wacha kudata
sisi tunaroll bila matata
combination yenyewe umepata
muziki unakuvuta vutaaa unapataaaaa
 
Kwa hiyo wewe una degree tatu na macho manne basi wewe sio binaadamu wa kawaida sisi wenye macho mawili na elimu ya kawaida tunamkubali mwana FA

kutoka bongo fleva hadi jenerali on monday
fa jamani faaaa namkubali huyu kaka baas tuuu
 
Tumesilkiliza ngoma 20 leo za FA sahizi namalizia Ameeen ,halafu Wewe unaleta ubishani
 

mkuu kasolo zenye kasoro huwa ana maana gani
 
jieleweni jikazeni
msipokomaa waume zenu watawaletea vicheche ndani
niamini binamu B...!!
 
mkuu kasolo zenye kasoro huwa ana maana gani

Okey labda nijaribu kuiweka namna nilivoelewa mimi mana tafsiri huwa zinatofatiana kutokana na uelewa..kama kuna maana nyingine naomba wadau wataongezea...maana yake ni hii katika wimbo wa hey hey dj
sista p alijaribu kumponda binamu katika mashairi ya ingekuwa vipi kwa kumwambia binamu kuwa mistari kaiba kwa mwanamziki flani(jina nimelisahau) na kuuponda kuwa una kasoro nyingi ule wimbo..lakin matamshi yake ya lafudhi akatamka kasolo badala ya kasoro....sasa katika kumjibu ..binamu akaona udhaifu ule wa matamshi ya maneno alionao sista p akaona wala asipoteze nguvu nyiiingiii kumjibu kwa kutunga wimbo mzima bali akamjibu kwa mstari mfupi tu kuwa .."wewe sista p unanikosoa wakati tayari unawasilisha ujumbe ukiwa na kasoro na umeshindwa kutamka hata neno kasoro kwa ufasaha na unatamka kasolo kweli utaweka kunikosoa mimi? Ndo akaandika maneno hayo machache ya "kasolo zenye kasoro".....hii ni kwa maoni yangu wadau kama kuna tafsiri deep zaidi tuendelee kuelimishana maana hatuna degree mbili za kumuelewa stamina mambumbumbu sisi so tunakomaa na binamu
 

umenifurahishaje sasa?!!
 

asante mkuu
 
Huyo Stamina anaye lazimisha vina hata mistari isiyo na maana damn umemdharau sana FA. Stamina hata Nikki wapili, Mbishi na One bado hajaweza kuwafikia sembuse FA? Dogo mkali tena sana but sio kwa level hizo za FA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…