Damn! Unaanzaje kumfananisha STAMINA na FA, Mnanioffend Brothers

Kama hadi
Kama hadi
Kama hadi

Stamina ana lazimisha vina hata kama havileti maana na urap katuni mwingi tena wakati mwingine wa kitoto
 
Mwana FA ametimia ila nae ana maneno ya kiswahili sana

yule ni mtu wa pwani kutoka tanga unategemea awe na maneno ya wapi??au kwa kuwa aliishi uingereza alipokuwa akisoma masters bas aandike maneno ya mwingereza ndo nyie wenye degree mbili mumuelewe...ha ha team stamina mna shida
 
Alokwambia team stamina nani???? Umekurupuka .... Kwanza umeelewa nilichomaanisha
 
Alokwambia team stamina nani???? Umekurupuka .... Kwanza umeelewa nilichomaanisha
oohh sorry bi dada niliku quote wrong niwie radhi...nadhani tupo pamoja..nilifikiri na wewe upo upande ule wa wenye degree mbili za kumuelewa stamina...big up
 
Mkuu, kuna mtu unayemlisha humu? Ajabu!

No offence intended..

Sina ninaye mlisha mkuu. Ila nyie ni sehem ya jamii yangu tena watanzania wenzangu tunao share matatizo hasa ya kiuchumi mkuu. Kwann tusielekeze nguvu kwenye matatizo yetu? Hivi ni sawa kuto msaidia mtu kisa haumlishi? Aisee!!!
 
No, the way ulivyokuja kubwabwaja mkuu, uwe unakuja vizuri basi. Halafu kila kitu kina sehemu yake na wakati wake. Nikuulize tu, Unajua uko jukwaa gani?

MR.CONFIDENT nisamehe kwa kubwabwaja mkuu, nisamehe kwa baya lolote.... Unaeza endelea na uzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…