Damu 4.2 Baada ya kujifungua siku ya 23

Damu 4.2 Baada ya kujifungua siku ya 23

Kama ulienda hospitali kuanzia ya mkoa, basi naamini wamemfanyia assessment na wamejiridhisha anaweza kuruhusiwa...

Ila kama umeenda hospitali chini ya hapo, broo mbebe mkeo umpeleke hospitali kuanzia mkoa. Hb ya 4.2 kwa mama anayenyonyesha ni mbaya bora hata angekuwa mjamzito.

Na kwa dalili ulizozisema inaonesha anaelekea kupata Anemia in Failure.

Hata kama mazingira magumu, jitahidi pakikucha kesho afike hospitali kuanzia ya mkoa.
Kesho mbali, usiku ugonjwa unazidi utaona hapakuchi bora atumie gharama afike hospital muda huu
 
Ni kweli kabisa ni ndogo aisee nilioverlook nikaona kama 6.2..

But japo iko far away kuiconsider kuwa Postpartum Anemia ila kuna maswali inabidi Mtoa mada atupe majibu yake..

-Alijifungulia Nyumbani au Hospitali na Kwa njia Ipi?
-kabla ya Kujifungua Alikuwa ana kiasi gani cha damu?
- Kama ana homa kali inanipa maswali mengi ya Postapartum Infection..

So swali kwa mleta mada Alipojifungua alitoka Damu nyingi? Na Vipi kuhusu Damu kutoka baada ya masaa 24? Alilazwa tena baada ya kutoka damu..?

Naomba kujua Rangi ya Majimaji yatokayo Ukeni yana rangi gani (Colour of lochia) je kuna clot "Kama damu zilizoganda"..

But as ilivyotakiwa alitakiwa Kuwa Amepata angalau unit moja mpaka mbili ya Packed RBC
Kabisa mkuu.
 
Habar wakuu mke wangu kajifungua tar 1/3/2024 Leo tar 23 kaamka kichwa kinaumaa kizungu zungu homa Kali barid Kali,,tukaenda hospital kapimwa kakutwa na damu 4.2.

Kapewa dawaferrous sulphate + folic acid tablet ameambiwa anywe 1×2.

wadau msaada zaid
4.2 ??? Alafu haongezwi Damu anapewa Dawa tu za kuongeza damu ?.

Ulimpeleka Zahanati? Kituo Cha Afya ? Hospital?.


Mrudishe Kituo Cha Afya au Hospital aongezewe Damu.
 
Habar wakuu mke wangu kajifungua tar 1/3/2024 Leo tar 23 kaamka kichwa kinaumaa kizungu zungu homa Kali barid Kali,,tukaenda hospital kapimwa kakutwa na damu 4.2.

Kapewa dawaferrous sulphate + folic acid tablet ameambiwa anywe 1×2.

wadau msaada zaid
Umeenda hospital kweli ? .au maabara au duka la dawa. maana hiyo hb yako lazima tukufungie wodini
 
Back
Top Bottom