Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 335
- 554
Kesho mbali, usiku ugonjwa unazidi utaona hapakuchi bora atumie gharama afike hospital muda huuKama ulienda hospitali kuanzia ya mkoa, basi naamini wamemfanyia assessment na wamejiridhisha anaweza kuruhusiwa...
Ila kama umeenda hospitali chini ya hapo, broo mbebe mkeo umpeleke hospitali kuanzia mkoa. Hb ya 4.2 kwa mama anayenyonyesha ni mbaya bora hata angekuwa mjamzito.
Na kwa dalili ulizozisema inaonesha anaelekea kupata Anemia in Failure.
Hata kama mazingira magumu, jitahidi pakikucha kesho afike hospitali kuanzia ya mkoa.