Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 335
- 554
Kesho mbali, usiku ugonjwa unazidi utaona hapakuchi bora atumie gharama afike hospital muda huuKama ulienda hospitali kuanzia ya mkoa, basi naamini wamemfanyia assessment na wamejiridhisha anaweza kuruhusiwa...
Ila kama umeenda hospitali chini ya hapo, broo mbebe mkeo umpeleke hospitali kuanzia mkoa. Hb ya 4.2 kwa mama anayenyonyesha ni mbaya bora hata angekuwa mjamzito.
Na kwa dalili ulizozisema inaonesha anaelekea kupata Anemia in Failure.
Hata kama mazingira magumu, jitahidi pakikucha kesho afike hospitali kuanzia ya mkoa.
Sawa basi ngoja nifanye hivoMpeleke Hospitali ya serkali na nakushauri mpeleke Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Usiku huu huu usilale naye ndani
Kabisa mkuu.Ni kweli kabisa ni ndogo aisee nilioverlook nikaona kama 6.2..
But japo iko far away kuiconsider kuwa Postpartum Anemia ila kuna maswali inabidi Mtoa mada atupe majibu yake..
-Alijifungulia Nyumbani au Hospitali na Kwa njia Ipi?
-kabla ya Kujifungua Alikuwa ana kiasi gani cha damu?
- Kama ana homa kali inanipa maswali mengi ya Postapartum Infection..
So swali kwa mleta mada Alipojifungua alitoka Damu nyingi? Na Vipi kuhusu Damu kutoka baada ya masaa 24? Alilazwa tena baada ya kutoka damu..?
Naomba kujua Rangi ya Majimaji yatokayo Ukeni yana rangi gani (Colour of lochia) je kuna clot "Kama damu zilizoganda"..
But as ilivyotakiwa alitakiwa Kuwa Amepata angalau unit moja mpaka mbili ya Packed RBC
Kwa kiwango hicho anatakiwa aongezewe damu halafu ndiyo aendelee kumeza hizo dawaIchi kiwango ni sawa Cha damu 4.2 ni sawa kweli sio kwamba kiko chini sana kinahatarisha uhai
4.2 ??? Alafu haongezwi Damu anapewa Dawa tu za kuongeza damu ?.Habar wakuu mke wangu kajifungua tar 1/3/2024 Leo tar 23 kaamka kichwa kinaumaa kizungu zungu homa Kali barid Kali,,tukaenda hospital kapimwa kakutwa na damu 4.2.
Kapewa dawaferrous sulphate + folic acid tablet ameambiwa anywe 1×2.
wadau msaada zaid
Nilimpeleka hospital ya wacatolic4.2 ??? Alafu haongezwi Damu anapewa Dawa tu za kuongeza damu ?.
Ulimpeleka Zahanati? Kituo Cha Afya ? Hospital?.
Mrudishe Kituo Cha Afya au Hospital aongezewe Damu.
Umeenda hospital kweli ? .au maabara au duka la dawa. maana hiyo hb yako lazima tukufungie wodiniHabar wakuu mke wangu kajifungua tar 1/3/2024 Leo tar 23 kaamka kichwa kinaumaa kizungu zungu homa Kali barid Kali,,tukaenda hospital kapimwa kakutwa na damu 4.2.
Kapewa dawaferrous sulphate + folic acid tablet ameambiwa anywe 1×2.
wadau msaada zaid
Hali ya mgojwa Iko sawa anakunywa juisi ya matembeleMtoa uzi hebu njoo utujuze hali ya mgonjwa