Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

Uroho, roho mbaya, tamaa, uoga wa kushindwa ndio sababu ya yote haya. Watwala kama mnavyojiita ifike wakati muingiwe na hata roho ya ubinadamu hautaendelea kuwa hapo ulipo milele. Wananchi wanaona na inafika wakati wanachoka ndio kama hivyo.
 
Viongozi wa Kiafrika wanaoiheshimu katiba, wanaokubali kushindwa katika sanduku la kura inabidi tuwape heshima yao stahiki kwa maana ni wachache mno.

Huku hadi kuachia uongozi wa chama ni vita, ni mambo ya ajabu na aibu.
 
Duh siasa zinammaliza sana watu , watu wanabaki wajane na watot wanabaki mayatima . respect kwa mataifa ya ulaya na mataifa yote yaliyoendelea wngi wao wanaheshim katiba za nchi zao Afrika sijui tutaamka lini .bless up mwandishi
 
Hivi ndivyo civil war zinavyoanzaga, hapo solution ni kuunda serikali ya pamoja tu. Huyo mwamba Venancio akwae umakamo wa raisi hali ya hewa ikae sawa.
Venancio amefunguliwa mashtaka. Maandamano pia yameshakatiwa jina la 'urban terrorism' yenye lengo la kuondosha utawala wa kidemokrasia madarakani.
 
Uroho, roho mbaya, tamaa, uoga wa kushindwa ndio sababu ya yote haya. Watwala kama mnavyojiita ifike wakati muingiwe na hata roho ya ubinadamu hautaendelea kuwa hapo ulipo milele. Wananchi wanaona na inafika wakati wanachoka ndio kama hivyo.

Utawala wowote ule ambao upo mwishoni, utawala wowote ule ambao unakaribia kuanguka au utawala wowote ule ambao unakaribia kukata roho, mambo kama haya ni kawaida kabisa kufanyika kwenye nchi yenye utawala wa aina hiyo. Hii ni kutokana na sababu za Watawala kuchanganyikiwa, kushikwa na hofu au kupata kiwewe.
 
Viongozi wa Kiafrika wanaoiheshimu katiba, wanaokubali kushindwa katika sanduku la kura inabidi tuwape heshima yao stahiki kwa maana ni wachache mno.

Huku hadi kuachia uongozi wa chama ni vita, ni mambo ya ajabu na aibu.
Na kadiri unavyozidi kuharibu ndivyo unavyozidi kuwa na sababu ya kung'ang'nia maana unajiuliza,

Nikiondoka nitabakia kuwa salama?
 
Umaskini wa Afrika inatoka a na siasa za ballot papers na demokrasi

We don’t need that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…