Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

Polisi wanalinda viongozi tu. Wangelinda wananchi na mali zao. Waporaji ndio wanalindwa kwasababu katika hali hii ndio wenye uwezo wa kulipa mishahara.

Haya maandamano yanaenda wapi, hawafiki tu?

Wananchi wasimame kidete kutetea maslahi ya nchi yao, wasiogope mikakati ya polisi.

Watakufa wengi lakini wasirudi nyuma kwa namna yoyote Flelimo waondoke na wasirudi kamwe.
 
Umeiandika vyedi sana ila yule jamaa wa sogelea telegram lazima asepe nayo hii!
 
Natamani ningekufahamu mwandishi wa hii makala personally... ipo very well informed na narrative... very professional..

Asante kwa taarifa hii... Sisi huku tuzidi kumuomba Mungu amani!!
Ahsante sana, Dialogist.

Amani ni zao la haki.
 
Shukrani sana mkuu, umeieleza vizuri, huwa sichoki kusoma makala / stories zako, Naomba umalizie ile story ya Mnigeria aliyeua wanawake wawili pia ile madam wa nursery school
 
Ushawahi kuishi nao?
Nimeishi nao sana pande za kusini. Kipindi Cha msimu wa korosho huwa wanavuka mpaka kuja kufanya kazi kwenye mashamba ya korosho. Hawa jamaa ukiwangalia kwa jicho la kawaida utahisi ni washamba, mafala, wajinga, nk ila ukingia kwenye 18 zao tunakuzika na wenyewe wanapotea.
 
Shukrani sana mkuu, umeieleza vizuri, huwa sichoki kusoma makala / stories zako, Naomba umalizie ile story ya Mnigeria aliyeua wanawake wawili pia ile madam wa nursery school
Kweli unafuatilia. Ahsante mkuu.

Itabidi niingie chimbo tena.
 
Nimeishi nao sana pande za kusini. Kipindi Cha msimu wa korosho huwa wanavuka mpaka kuja kufanya kazi kwenye mashamba ya korosho. Hawa jamaa ukiwangalia kwa jicho la kawaida utahisi ni washamba, mafala, wajinga, nk ila ukingia kwenye 18 zao tunakuzika na wenyewe wanapotea.
Maji yaliyotulia.
 
Ni njia pekee ya kujihakikishia usalama,....unadhani leo CCM itoke, nani kati yao atabaki salama mtaani....
Hiki ndo nilichosema. Na kadiri unavyozidi kuharibu ndo' unavyozidi kupata sababu za kung'ang'ania.
 
Back
Top Bottom