Damu ya Elvino na mauaji ya huko Msumbiji

Tufungulie code.
Serikali inayoitwa ya Muungano ni serikali ya Tanganyika kwani wewe hujui! Rais gani wa Muungano madaraka yake yaishie Tanganyika tu? Hata bunge linaloitwa la Muungano likitunga sheria inayotakiwa itumike nchi nzima ili itumike Zanzibar lazima iridhiwe na Baraza la wawakilishi Zanzibar vinginevyo itatumika hukuhuku Tanganyika tu,sasa huo Muungano gani.
 
Duh siasa zinammaliza sana watu , watu wanabaki wajane na watot wanabaki mayatima . respect kwa mataifa ya ulaya na mataifa yote yaliyoendelea wngi wao wanaheshim katiba za nchi zao Afrika sijui tutaamka lini .bless up mwandishi
Rais wa Cameroon, Paul Biya, ana miaka 92.

Anataka kugombea tena.
 
Natamani ningekufahamu mwandishi wa hii makala personally... ipo very well informed na narrative... very professional..

Asante kwa taarifa hii... Sisi huku tuzidi kumuomba Mungu amani!!
 
Ndio huo uroho naousema. Halafu meisho wa siku wanakuja kuingia gharama kubwa kuzuia raia wasiandamane kwa mambo waliosababisha wenyewe.

Mimi ninaichukia siasa kutoka moyoni kabisa
 
Hiyo Nchi haitatawalika kama chama tawala hakitakubali matokeo ya kushindwa na walikosea sana kumuua yule Wakili maana yeye alikua anataka mambo yaende mahakamani sidhani kama wangefika huku...
Hata Venancio naye angekuwa tayari ashauawa, sema tu yupo mbali na mkono wao.

Watu hawa hufanya lolote lile kubaki madarakani.
 
Nimependa uandishi wako.... Nilikua sielewi ni kitu gani kimetokea huko.. Ila Sasa nimepata picha kamili...

Usiache kutu tag mwendelezo wake
 
Hawa wako serious kweli, wamechoka chama tawala
 
Hata Venancio naye angekuwa tayari ashauawa, sema tu yupo mbali na mkono wao.

Watu hawa hufanya lolote lile kubaki madarakani.
Watu wa Msumbiji wana roho mbaya sana maana wale jamaa kwa wageni wakiwakuta na hela harafu hautaki kugawana nusu kwa nusu kuua wao ni kitu kirahisi sana pale Mozambique sio sehemu salama kwangu nilipita miaka kadhaa nikasema huku sipiti tena ni kama Somalia tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…