Ahsante, Mandingo.Umeiandika vyedi sana ila yule jamaa wa sogelea telegram lazima asepe nayo hii!
Ushawahi kuishi nao?Ogopa sana mmakonde wa Msumbiji akichukia
Ahsante sana, Dialogist.Natamani ningekufahamu mwandishi wa hii makala personally... ipo very well informed na narrative... very professional..
Asante kwa taarifa hii... Sisi huku tuzidi kumuomba Mungu amani!!
Very strange yani. Actually hapo ni chapaa tu inasakwa, wasiompenda kazi kwaoSijui inakua vipi kutaka kuwaongoza watu wasiokutaka🤔
Nimeishi nao sana pande za kusini. Kipindi Cha msimu wa korosho huwa wanavuka mpaka kuja kufanya kazi kwenye mashamba ya korosho. Hawa jamaa ukiwangalia kwa jicho la kawaida utahisi ni washamba, mafala, wajinga, nk ila ukingia kwenye 18 zao tunakuzika na wenyewe wanapotea.Ushawahi kuishi nao?
Kweli unafuatilia. Ahsante mkuu.Shukrani sana mkuu, umeieleza vizuri, huwa sichoki kusoma makala / stories zako, Naomba umalizie ile story ya Mnigeria aliyeua wanawake wawili pia ile madam wa nursery school
Maji yaliyotulia.Nimeishi nao sana pande za kusini. Kipindi Cha msimu wa korosho huwa wanavuka mpaka kuja kufanya kazi kwenye mashamba ya korosho. Hawa jamaa ukiwangalia kwa jicho la kawaida utahisi ni washamba, mafala, wajinga, nk ila ukingia kwenye 18 zao tunakuzika na wenyewe wanapotea.
Itakuwa poa sana mkuu, be blessedKweli unafuatilia. Ahsante mkuu.
Itabidi niingie chimbo tena.
Alafu mwisho atamalizia kimbilia telegram kupata mkasa kamili.Mimi siyo mtabili ila Buyombe wa twiter ataiba hili andiko
Ni njia pekee ya kujihakikishia usalama,....unadhani leo CCM itoke, nani kati yao atabaki salama mtaani....Sijui inakua vipi kutaka kuwaongoza watu wasiokutaka🤔
Hiki ndo nilichosema. Na kadiri unavyozidi kuharibu ndo' unavyozidi kupata sababu za kung'ang'ania.Ni njia pekee ya kujihakikishia usalama,....unadhani leo CCM itoke, nani kati yao atabaki salama mtaani....
Mchangieni, brother.Alafu mwisho atamalizia kimbilia telegram kupata mkasa kamili.
Yes 👍👍Hiki ndo nilichosema. Na kadiri unavyozidi kuharibu ndo' unavyozidi kupata sababu za kung'ang'ania.