Danadana majaribio treni ya SGR Dar - Moro

Jamani hakuna engine hata Moja ya mradi iliyopokelewa! Hizo safari zitaanzaje? Hata engine zikija Leo, pamoja na mabehewa yaliyopo ambayo yalileta mzozo yalipopokelewa, sidhani kama kweli testing itafanyika halafu mradi uanze mwezi ujao. Hii Haiwezekani!
 
Umeme SI tatizo, maana Hizo engine pia zaweza tumia diesel. Tatizo ni kwamba hazijapokelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…