Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Miradi ya Magufuli mungi haina tija. Kule Rufiji tumefyeka zaidi ya miti million sita. Tuna akili kweli??Tanzania SGR is a white elephant too
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miradi ya Magufuli mungi haina tija. Kule Rufiji tumefyeka zaidi ya miti million sita. Tuna akili kweli??Tanzania SGR is a white elephant too
Hivi mkuu "white elephant" huwa ina maana gani?
Nimeona mara kadhaa likitumiwa bila kujua maana yake.
Google naletewa majibu ya kimalkia ambacho sikijui.
Au ina maana kuna upigaji? (muda wote nahisi ina maana hiyo)
Yamejaa tiketi za ndege na destination za kwendaRais yupo ikulu na mafaili lukuki
Macho na masikio ya Watanzania yanasubiri kukamilika kwa mradi huo ambao umeshachelewa kwa miezi 25, sawa na miaka miwili na mwezi mmoja
Chanzo: Mwananchi
Wengi hatutakuelewa ila hii ndiyo sumu ya SGRKwani wenye mabasi wanasemaje
Miradi ya Magufuli mungi haina tija. Kule Rufiji tumefyeka zaidi ya miti million sita. Tuna akili kweli??
Tanzania SGR is a white elephant too
Itakamilika tu mpaka sasa inaonekana kwa macho na viongozi wa Uganda na Burundi wameitembelea na kuvutiwa sana na SGR yetu.
Kenya wana SGR pia lakini hawajawahi kutembelewa na rais wa nchi yoyote kuiona.
Mipombe ndio minini?wee mzee uwe unakula chakula vyema kabla ya kufakamia mipombe.
Ndo umuhimu wa kulipa kwa cash
White elephant. Ni mradi au biashara ambayo Haina faida inatengeneza hasaraHivi mkuu "white elephant" huwa ina maana gani?
Nimeona mara kadhaa likitumiwa bila kujua maana yake.
Google naletewa majibu ya kimalkia ambacho sikijui.
Au ina maana kuna upigaji? (muda wote nahisi ina maana hiyo)
Kwa saa hata 2 alikwambia nani? Na mavibao yenu ya 50 kila baada ya kilometre 1Yaani tungechukua uamuzi wa kujenga high way ata ya njia 3x3 from dar to dodoma. Leo tungekua mbali nafikiri kumalizika ingekua teyari.
Tungeweza kupunguza muda wa safari dodoma dar kwa saa ata mbili ingekua na unafuu na ingechochea pia shughuli za maendeleo.
Huenda wewe huna akili vizuri hebu funua kichwa uone kama kuna ubongo kabla ya ku comment upuuzi!Miradi ya Magufuli mungi haina tija. Kule Rufiji tumefyeka zaidi ya miti million sita. Tuna akili kweli??
Kwa saa hata 2 alikwambia nani? Na mavibao yenu ya 50 kila baada ya kilometre 1
Kwani highway za Tanzania wewe huzifahamu ama unazungumzia ya ujerumani ambayo kilometre 300 hakuna vibao vya 50 wala hata tuta.Vibao gani tena hapa tunazungumzia high way
Kwani highway za Tanzania wewe huzifahamu ama unazungumzia ya ujerumani ambayo kilometre 300 hakuna vibao vya 50 wala hata tuta.