Dance groups wanayocheza barabarani kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu wapimwe akili

Dance groups wanayocheza barabarani kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu wapimwe akili

Checnoris

Senior Member
Joined
Aug 21, 2022
Posts
123
Reaction score
269
Haya makundi ya wacheza muziki kumsifia Yesu si sahihi(hii style ya kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumini lukuki.

Mbaya zaidi wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
 
Hata hawa wanahubiri humu kwenye njia panda barabarani wote wapimwe
 
Haya makundi ya wacheza muziki kumsifi yesu si sahihi(hii style ya Kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumuni lukuki.

Mbaya Zaid wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
Bila picha/video haina uzito
 
Haya makundi ya wacheza muziki kumsifi yesu si sahihi(hii style ya Kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumuni lukuki.

Mbaya Zaid wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
Wasamehewe bure hao kondoo
 
Wanaita sijui gossiping sebene yani hakuna tofauti na akudo
 
Aganola kale walimtukuza Mungu mpaka nguo zikavuka
Acheni kupangia watu maisha
 
Mimi nilishasema, Mwenyezi Mungu anastahili atungiwe style ya pekee za uchezaji. Kwa Ukuu wake siyo sawa unatumia style hiyo hiyo kumchezea uliyotumia usiku wa jana yake ukiwa umelewa chakali.

Wakristu wenzangu tunakosea sana.
 
Back
Top Bottom