Bila picha/video haina uzitoHaya makundi ya wacheza muziki kumsifi yesu si sahihi(hii style ya Kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumuni lukuki.
Mbaya Zaid wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
Wasamehewe bure hao kondooHaya makundi ya wacheza muziki kumsifi yesu si sahihi(hii style ya Kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumuni lukuki.
Mbaya Zaid wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.