Danganya toto Kitambi anawataka wasanii wa kike wasikubali

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Huyu waziri malaya malaya ameanza kuita wasanii wa kike kila mtu anajua ni mtu wa kupenda kutishia ili kutoa nyegezi zake. Wasanii msikubali huu ujinga kisheria kama una kosa Polisi ndiyo wanatakiwa wakuite sio huyu waziri.

Tunge nyamaza lakini sio lazima tuangalie wanawake kwenye jamii zetu wasinyanyashwe kwa ngono
 
Wazir nae ni content krieta , that how low tumefika. Hana kazi ya kufanya ana deal na trivial issues
 
Huyu waziri malaya malaya ameanza kuita wasanii wa kike kila mtu anajua ni mtu wa kupenda kutishia ili kutoa nyegezi zake. Wasanii msikubali huu ujinga kisheria kama una kosa Polisi ndiyo wanatakiwa wakuite sio huyu waziri.

Tunge nyamaza lakini sio lazima tuangalie wanawake kwenye jamii zetu wasinyanyashwe kwa ngono
Akiangalia shepu ya Gigy Money mate yanamtoka ndio maana kamuita mara mbili.
 
Back
Top Bottom