Huyu waziri malaya malaya ameanza kuita wasanii wa kike kila mtu anajua ni mtu wa kupenda kutishia ili kutoa nyegezi zake. Wasanii msikubali huu ujinga kisheria kama una kosa Polisi ndiyo wanatakiwa wakuite sio huyu waziri.
Tunge nyamaza lakini sio lazima tuangalie wanawake kwenye jamii zetu...
Nauliza tu maana nimeona Ruby nae kashaacha mziki
List ni ndefu kweli
K-Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe)
Ray C
Vanessa Mdee
Shaa (Malkia wa Uswazi)
Snura
Khadija
Kwanini hawa wakishapata majina tu wanaacha kabisa muziki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.