Wasanii wengi wa kike Bongo wakishapata majina, wanaacha mziki shida ni nini?

Wasanii wengi wa kike Bongo wakishapata majina, wanaacha mziki shida ni nini?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Nauliza tu maana nimeona Ruby nae kashaacha mziki

List ni ndefu kweli
  • K-Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe)
  • Ray C
  • Vanessa Mdee
  • Shaa (Malkia wa Uswazi)
  • Snura
  • Khadija
Kwanini hawa wakishapata majina tu wanaacha kabisa muziki
 
Muziki wa bongo hauna pesa nzuri hasa umri ukisogea.
 
  • Thanks
Reactions: ---
Una uhakika kwamba kilichowaingiza kwenye muziki ni kupata majina?
 
Presha ya mitandaoni na industry politics inachosha sana muda mwingine.
 
Majukumu ya kifamilia yanaweza kuwa na sehemu kubwa kuwa sababu, wanaume hata wakikutana na majukumu kiasi gani bado wanaweza kupambana, lakini wanawake wengi kuna mda wanafika sehemu wanaona muda wa kufanya hiki umeisha ngoja nifanye hiki, au ngoja kwanza nifanye hiki nikimaliza niendelee na hiki na mwisho wasiku wanazima kabisa, au kuna namna nguvu iliyokuwa ikiwasukima kufanya hivyo inapungua wanaamua kubadirisha kazi, najaribu kuwaza hivyo,
 
wasanii wa kike wengi wakiingia kwenye muziki target yao ni kuwa maarufu ili waolewe na watu wenye pesa(muziki hauna pesa bali ni stepping stone ya kwenda hatua inayofuata) mfano ni k Lyn wa mengi au watumie umaarufu kupata kazi nyingine ya kipato kikubwa mfano ni Keisha na vick kamata wao kupitia umaarufu wa muziki ilikuwa rahisi kuingia kwenye siasa,au wawe wadangaji maarufu kupitia majina Yao mfano ni gigy money,amber lulu,lulu diva na wengine wa sampuli hiyo
 
Back
Top Bottom