OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Oct 22, 2022 #1 Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Oct 22, 2022 #2 Suluba dhidi Yanga Zimeanza.....! Na Kesho Tena.....!
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Oct 22, 2022 #3 πππ
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 Oct 22, 2022 #4 Safi sana simba ikicheza Tanzania mpka caf wanakuwa na furaha [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,930 Reaction score 2,118 Oct 22, 2022 #5 OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2394531 View attachment 2394532 Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu! Click to expand... Yule makamu wa rais wa janjajanja fc si alisema wameandaa timu ya wanawake kubeba mataji yote na nguvu kubwa ataelekeza huko?
OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2394531 View attachment 2394532 Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu! Click to expand... Yule makamu wa rais wa janjajanja fc si alisema wameandaa timu ya wanawake kubeba mataji yote na nguvu kubwa ataelekeza huko?
M Mbigirikavu Senior Member Joined Aug 19, 2022 Posts 101 Reaction score 118 Oct 22, 2022 #6 OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2394531 View attachment 2394532 Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu! Click to expand... Yanga wana improve, kutoka 7-0 hadi 2-0. Wanapongezana waliko huko
OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2394531 View attachment 2394532 Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu! Click to expand... Yanga wana improve, kutoka 7-0 hadi 2-0. Wanapongezana waliko huko
mr chopa JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 5,297 Reaction score 13,678 Oct 22, 2022 #7 Carrasco putin said: Safi sana simba ikicheza Tanzania mpka caf wanakuwa na furaha [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Click to expand... Cuf ya lipumba
Carrasco putin said: Safi sana simba ikicheza Tanzania mpka caf wanakuwa na furaha [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Click to expand... Cuf ya lipumba